Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 11,571
- 21,532
Fursa ngoja niwacheki wachina tutengeneze "viongeza matege" tupige hela
Tehe tehe teheeeee.....sawa bwana. Mungu akufanyie wepesi mkuu.Hilo tege halijawahi kuacha mtu salama.ahah kivuruge tu hyo Siyabonga101 ! achana naye
Wafunge ringi la baiskeli miguuni inatosha sana mkuu.Fursa ngoja niwacheki wachina tutengeneze "viongeza matege" tupige hela
Tehe tehe teheeeee.....sawa bwana. Mungu akufanyie wepesi mkuu.Hilo tege halijawahi kuacha mtu salama.
Kwema mkuu. Shemeji hajambo?ahhaha umesema wewe !afu hatujagombana muda!!!!!!!Kulikoni swahiba
Ebu weka picha tuone. Mi nina dawa ya kuweka sawa ila dawa naiingiza kwa mashine.Ndio,nilichoma sindano za kichina ila zilichonifanyia sitakaa nikisahau. Ziliumua kalio moja tu lingine likabaki limesinyaa
NimekasilikaHuyu Demu wa masela huwenda utamu wake unachangiwa na Mbegu tunazoacha ndani.
Ukikasirika naweka picha zake humu, hakuna demu wa pekee yako
Mimi Nimekasirika Wewe endelea KukasilikaNimekasilika
Nimekasilika. Weka picha hyo ni kupe vocha mkuuHuyu Demu wa masela huwenda utamu wake unachangiwa na Mbegu tunazoacha ndani.
Ukikasirika naweka picha zake humu, hakuna demu wa pekee yako
Kwema mkuu. Shemeji hajambo?
Wewe mtu akikupa Vocha uko tayari kuhonga hata Sehemu zako za siri?.Nimekasilika. Weka picha hyo ni kupe vocha mkuu
Haya mkuu. Umeshinda endelea kumjuaWewe mtu akikupa Vocha uko tayari kuhonga hata Sehemu zako za siri?.
Vocha Kitu gani ila naendelea kusema ninamjua kuliko huyo aliyeweka hiyo picha anavyomjua.
Kuna siku Vocha zitakulaza kwenye Majani kuwa makini.Haya mkuu. Umeshinda endelea kumjua
Acha porojo bana.kafie mbele. Unatapatapa tu. Umeambiwa weka picha unarukaruka kama kenge. Haya endelea. Ctaki mjadalaKuna siku Vocha zitakulaza kwenye Majani kuwa makini.
Nilijua tu tabia zako zinamfanano na tabia za Wanawake sasa "Ctaki" hapo unamaanisha nini, Vocha zimekuvuruga umekuwa mwanamke kabisa kisa vocha!!! AiseeeeAcha porojo bana.kafie mbele. Unatapatapa tu. Umeambiwa weka picha unarukaruka kama kenge. Haya endelea. Ctaki mjadala
Nashukuru kwa offer yako,ila nilishapata tiba mbadala lililo kuwa limeumuka nalo lilisunyaa.Ebu weka picha tuone. Mi nina dawa ya kiweka sawa ila dawa naiingiza kwa mashine.

Haaaaahaaaaa! Kumbe upo mtoto wa Malampaka, nimeshapewa reference, hebu pitia pande hii maana hilo tege ndiyo limbwata langu. .nimejikuta nacheka ova mazuri ! nina tege na kweli la nje lol !ukipiga mpira mie nisizinge lazima uwe tobo !haahahah muone na wewe unanifaham ?
Hiyo expansion joint imenikata steam kabisaa!!!ahahahah 'expansion joint'