wanajamii ningependa mwenye kujua juu ya wanawake wenye jinsia mbili..ni kweli wapo na je kweli viungo hivyo vyote vinafanya kazi..
nahitaji msaada wenu nipate kujua tu
wanajamii ningependa mwenye kujua juu ya wanawake wenye jinsia mbili..ni kweli wapo na je kweli viungo hivyo vyote vinafanya kazi..
nahitaji msaada wenu nipate kujua tu
Kuna binadamu wana jinsia mbili sio mwanamke ukishakuwa mwanamke tayari una uke pekee! Hao unaowazungumzia ni binadamu na itadepend ni ipi inafunction zaidi so kama ni hormone za kike ni nyingi muonekano outakuwa ni wa kike and vice versa! India ndio nilisikia wako wengi sana i think ni genetic problem huku kwetu kama wapo wanafichwa sana
Intersexed/hermaphrodite: A person born with ambiguous genitalia. Intersexed conditions include Androgen Insensitivity Syndrome, Klinefelter's Syndrome, vaginal agenesis, ovotestes, and anyone who is not XX or XY.
or
Male-to-Female Transsexual: A person born physically male at birth, but who identifies their gender as female. Most choose to transition, undergoing hormone therapy and probably surgery.
And yes, both are conditions that you are born with.