Naona Man city au umeandika kitu ?Vipi mkuuu inakuumiza macho au ππ
Kama takeshi 69Duuuh hiyo mirangi sasa
Nakazia wapate na salamu zangu wale wanaosuka twende kilioni na inawapendeza sanawanawake msiosuka mnanipa wendawazimu.... kama mpo humu, salam ziwafikie π
Okay hayo majoho wanavalia kwa Daladala.?πππππ Man city tena duuuh asee soma vizuri
wanawake wanaojiweka simple wazuri sana....Nakazia wapate na salamu zangu wale wanaosuka twende kilioni na inawapendeza sana
Niconnect nae πππππ Well said kuna mwanachuo mwenzangu yupo hivyo ila hana jawline ππ