Wanawake wenye Hips wanatesa kwa mengi

Jamani mbona mnaongelea hipsi tu!kwani wanawake wenye matiti hawaongelewi au hawana swaga?

Hii kama ni kweli ni funga kazi, ila ukijisahau unaweza ukakutwa asubuhi we marehemu maana chuchu zikiziba pua ndio nitolee
 
Mwambie mwamvie tu naona anatoa maneno yasiyokuwa na mashiko

ndio maana hata kwenye mada yako siku za nyuma Miss chagga nilikueleza kuwa love has no specific formula, ndio aya ya mgt software, hajui kuwa tupo tunaopenda mamiss, wengine wadada wenye matege, wakati wengine wanapenda madunga-embe, hapana tunatofautiana, mm penda sana portables kama miss chagaa...
 

Na mimi penda pesa yako
 

Mmmmh kweli kabisaa
 
Na mimi penda pesa yako

pesa iko mingi sana ...iko penda pesa ngapi , iko kuja uku fanya barter trade toa pata hela!! .... ww mwanamke pesa ipi, hii iliyoandikwa 'pesa halali kwa malipo ya shillingi...' unaniuzia nini??
 
pesa iko mingi sana ...iko penda pesa ngapi , iko kuja uku fanya barter trade toa pata hela!! .... ww mwanamke pesa ipi, hii iliyoandikwa 'pesa halali kwa malipo ya shillingi...' unaniuzia nini??

napenda ile ya obama tu
 

Wewe unatudanganya tu, labda kama umeacha kuwapenda siku hizi, mwanaume akibarehe huwa anajiamini ana nguvu za kiume kuliko mtu yeyeto hivyo hamu yake kukamata, mimama yenye nguvu ndio kiu yake inaisha, vimbau mbau huisi havitamaliza hamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…