Wanawake wenye Hips wanatesa kwa mengi

Team flat screen oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Team Flat screen bado, mpaka uwawekee mito maana wanaumiza sana , alafu tu papuki kama mdoli, tunataka ukiona uzani wa nusu kilo mzuka ndio unapanda zaidi sio wakutafuta kwa tochi.
 
Team Flat screen bado, mpaka uwawekee mito maana wanaumiza sana , alafu tu papuki kama mdoli, tunataka ukiona uzani wa nusu kilo mzuka ndio unapanda zaidi sio wakutafuta kwa tochi.

Ha ha ha acha wanitafute kwa tochi tu.. flat sceen are flexible
 
Ndiyo mae flat screen oyeee aiii wasitunyanyase

Hatuwanyanyasi tunasema tuonavyo sisi watumiaji, kama uamini, tembea na yule aliyejariliwa, hata kama unamzidi kiface, kaa karibu na barabara wote mkipewa lift wa kwanza kuongeleshwa atakuwa mwenye hips bila kujali sura, waswahili wanasema mwanamke hips na ---- sura hata mbuzi anayo!!!
 
Yaani ukikutana na huyu akivua unazimia kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…