Wana JF,
Wanawake wengi wenye hips , ni wanawake ambao si kwa mwanaume tu hata kwa wanawake wenzie husifia kuwa fulani kajaliwa, ki maumbile, ni kweli wana mvuto wa pekee, humwagiwa sifa nyingi za ulembo, lakini pia kwa upande mwingine wa shilling ni matatizo tupu.
Sifa:-
1. Huwatesa sana wakina baba wanapokuwa katika vyombo vya usafiri kama daladala, treni, meli na ngalawa, mababa wengi hujawa na hisia kali za mahaba kiasi kwamba hupata mfadhaiko.
2. Hawana haraka sana kwani mwendo wao, kwani hutembea kwa maringo, hata daladal likisimamia mbali hawawezi kukimbia kuwahi.
3. Hutongozwa wanaume watano kwa siku, hata wanaume wasiposema angalau ukonyeza.
4. Ni wasikivu sana wakati wa kudate maana wengi ni warefu hupenda sana kukuinamia kusikia zaidi uliongealo.
Matatizo.
1. Kwa kuwa huwa wanavutia sana ni rahisi kurubuniwa kwani mwanamke yeyote duniani hawezi kutongozwa watu elfu 2000 asimpe mmojawapo.
2. Hawana raha kwani ukodolewa sana na watu, si wanawake wala wanaume.
3. Upata magonjwa sana asa fungus kwani sehemu zao za siri hazipati hewa ya kutosha kufatana na kubanana kwa nyama na msuguano kila mara
4. Wana gharama sana kuwatunza kwa sababu hawatakiwi kutembea kwa muda mrefu kuogopa msuguana hivyo umuohapo ni lazima ughalimike usafiri au unatakiwa kumunulia stini tyte kila mara kwa kuwa zinaalibika muda mfupi sehemu ya mapaja.