Tupo tu kaka, nilijua ungekua miongoni mwa wasafir
kaka bado, ila naweka nia baada ya miaka 2 au 3 inshallah...! nataka twende wawili na shemegiyo pia!
Mashallah mashallah, Allah akufanyie wepesi....
ahahaha
haiwezekani
Na mie si tutaenda wote eeeeh!!!
Kama upo tayari mimi nagaramia kila kitu....tutaenda?
Ni wapi huko?
Hahahaha kwani ulijua wapi?
ahahaha
haiwezekani
Hahahaha mie najua dubai
Kabisa....picha itasaidia...na iwe yako real.Inawezekana sana, usinambie wataka picha ndiposa uamini...............
Mie mwenyewe model..ila hips 27 ni za mtoto banaAfadhali mke wangu kimodel hips 27
Hahahaha nimecheka kweli