Wanawake wenye hips na mapenzi

genuineme

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2014
Posts
387
Reaction score
132
Je wajua! Wanawake wenye nyonga pana au hips,zaidi ya sentimita 36 wanakuwa na mahusiano mengi ya wanaume kuliko wale wa hips ndogo chini ya sentimita 31?Hii imeonekana katika tafiti ya wanasayansi..


Chanzo: telegraph
 
Mungu wangu huu uzi uhamishiwe kule bondeni vinginevyo kuna hatari ya nyuzi zingine kutelekezwa kwenye jukwaa hili
 
Hakuna sayansi hapo. Ni wanaume wenyewe ndo wanapenda hips
 
Uzi huu bila tu picha ni kama wali mkavu!!!!

Tyta long time no see you bro!!!!
 
Last edited by a moderator:
Hii mada kama nishawahi kuisoma hapa mwezi uliopita au septemba hii mwanzoni....hebu ngoja kwanza!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…