Kwakweli augue pole maana sio kwa kichambo hicho alichompa mwajuma ndala ndefu🤠🤠Pole kwa yaliyokukuta
Wakati anamfata alimuona mrembo, kapigwa kibuti ndio kageuka mwajuma ndala ndefuKwakweli augue pole maana sio kwa kichambo hicho alichompa mwajuma ndala ndefu🤠🤠
We acha tu yani😃😂😂😂🙌Wakati anamfata alimuona mrembo, kapigwa kibuti ndio kageuka mwajuma ndala ndefu
Wanaume wabaya sana😂We acha tu yani😃😂😂😂🙌
Kaza Bro, hivyo videmu vijeuri vinakuwaga vitamu sana na vina ubunifu wa hali ya juu kwenye kutenda dhambiHabari wanajamvi,
Kutokana na utafiti wangu wa hapa na pale kuhusiana na wanawake nimekuja kugundua asilimia kubwa ya wanawake ambao uwezo wao ni mdogo wa kufikiri(especially hawa wa uswahilini ila sio wote) wanakua na kidharau fulani ivi cha kijinga kwa mfano unaeza mfuata ukamsalimia demu normal tu namuongee ila atakavyo kujibu au dharau atakazokuonyesha kama wewe ni takataka fulani..... Like what the JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala mtu mwenyewe ukimuangalia kavaa kijora kimepauka kichwani hana lolote saa nyingine ni form four zero.
Ila kwa upande mwengine kuna baadhi ya wanawake wenye uwezo mkubwa wa kufikiri ambao nimekutana nao they are very polite and generous compared tu hawa akina mwajuma ndalandefu ambao kichwani amna kitu zaidi ya vigodoro na kunuka shombo
Hongera kwa kutoishi uswahilini KWamekusikia wataacha.
Wabaya sanaWanaume wabaya sana😂
Ahsante rafiki.Hongera kwa kutoishi uswahilini K
Mtie moyo amrudie Mungu sio kusaka UTI kwa nguvuKaza Bro, hivyo videmu vijeuri vinakuwaga vitamu sana na vina ubunifu wa hali ya juu kwenye kutenda dhambi
Dadeki na vina UTI sugu😂Kaza Bro, hivyo videmu vijeuri vinakuwaga vitamu sana na vina ubunifu wa hali ya juu kwenye kutenda dhambi
Yani wana kiti chao mahali😅😅Wanaume wabaya sana😂
Haya wasalimie Gongi..Ahsante rafiki.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wakati anamfata alimuona mrembo, kapigwa kibuti ndio kageuka mwajuma ndala ndefu
Wanaume kama sisi ni wazuri kwa wanawake wazuri kama weweWanaume wabaya sana😂