Una matatizo mkuu ushawawahi ina matatizo huko kwenu karagwe au sifa za mjini zinakupotoshayaan kuchkua tu tsht tuwili tu na karaba ka 30000/- unatoa povu namna hyo ? je wale wanaopenda ndinga za wenzi wao anaondoka nalo anakuwa anatamba nalo town tuwaweke wapi? likiharibika anakurudishia !teh teh !usioe kwanza wewe jipange kiuchumi kwanza !