Wanawake wengine ovyo kabisa

Wanawake wengine ovyo kabisa

Mkuu hizo nukta nukta zinaumiza macho sana, unatumia SIEMENS DOLE GUMBA?
Jamaa kuna uzi fulani unahusu matatizo ya simu, sasa kuona watu wengi wanalia matatizo ya simu zao akaanza kuwapiga vijembe eti"kwa uchunguzi wangu nimeona watu wengi wanatumia makopo",,, sasa ukilinganisha na hayo aliyoyaandika hapo, nd utagundua yeye simu yake ni kopo la aina gani, linaloweka nukta katika kila sentensi…!!
 
Katika maelezo yako mbona huja taja Kama ulisha mnunulia underwear?
Bora huyo anae chukua nguo zako.
Chamsingi hujatambua majukumu yako inafanya uchukie wanawake nikukumbushe kua moja kati ya majukumu ya Mme kwa mke niku hakikisha kua mke ana vaa vizuri Na kupendeza awe Na kazi au law nijukumu lako Na pesa zake hazikuhusu ukizitolea macho direct or indirect utapata with assohle
 
acha maneno ya khanga me siwezi tumia kopo kama lako
 
Aiseeeee , havichukui sababu anashida .....WANAWAKE huwa wanatabia yakutaka kuonekana wanatoka namtu fulan .

Apo upo !!!!!....

Pili anapovaa vitu vyako nisuala lakujivunia sana ,kama ni t shirt basi dunia yote itajua wee ndo unamiki.

Nakama ni Boxer akivaa ,,huongeza ukaribu mno wakusex naww anakua anakua anakuwaza kimapenzi.((( Basi tu hujui KABLA hajavaa mambo gan hujisemea moyon )).

Apo upooo!!!!.

Namwisho ,,Anapovaaa nguo yako au kitu chako anajisikia kua huru zaidi alafu anakukumbuka .

Apo upooooo.

NNE,,, Ujiongeze man ,,ukiona mwanamke wako anapenda vitu vyakiume mnunulie km suprize upoooo.

Tano... Mimi akinitembeleaga Akifika tuu huwa kuna mtishet Wangu mkubwaaa unanivaaaga ,, sasa ndo atalivaaa bila hata Chupi .. Mara akukalie ,,Mara akuonjeshe msosi km nimtamu ili mradi tuu tafuraniiiii.

Kwakweli maisha raha sana.
 
Jamaa kuna uzi fulani unahusu matatizo ya simu, sasa kuona watu wengi wanalia matatizo ya simu zao akaanza kuwapiga vijembe eti"kwa uchunguzi wangu nimeona watu wengi wanatumia makopo",,, sasa ukilinganisha na hayo aliyoyaandika hapo, nd utagundua yeye simu yake ni kopo la aina gani, linaloweka nukta katika kila sentensi…!!
Mtu wa ajabu sana huyu.
 
Katika maelezo yako mbona huja taja Kama ulisha mnunulia underwear?
Bora huyo anae chukua nguo zako.
Chamsingi hujatambua majukumu yako inafanya uchukie wanawake nikukumbushe kua moja kati ya majukumu ya Mme kwa mke niku hakikisha kua mke ana vaa vizuri Na kupendeza awe Na kazi au law nijukumu lako Na pesa zake hazikuhusu ukizitolea macho direct or indirect utapata with assohle
mke yupi ndani ya miezi 2
 
Aiseeeee , havichukui sababu anashida .....WANAWAKE huwa wanatabia yakutaka kuonekana wanatoka namtu fulan .

Apo upo !!!!!....

Pili anapovaa vitu vyako nisuala lakujivunia sana ,kama ni t shirt basi dunia yote itajua wee ndo unamiki.

Nakama ni Boxer akivaa ,,huongeza ukaribu mno wakusex naww anakua anakua anakuwaza kimapenzi.((( Basi tu hujui KABLA hajavaa mambo gan hujisemea moyon )).

Apo upooo!!!!.

Namwisho ,,Anapovaaa nguo yako au kitu chako anajisikia kua huru zaidi alafu anakukumbuka .

Apo upooooo.

NNE,,, Ujiongeze man ,,ukiona mwanamke wako anapenda vitu vyakiume mnunulie km suprize upoooo.

Tano... Mimi akinitembeleaga Akifika tuu huwa kuna mtishet Wangu mkubwaaa unanivaaaga ,, sasa ndo atalivaaa bila hata Chupi .. Mara akukalie ,,Mara akuonjeshe msosi km nimtamu ili mradi tuu tafuraniiiii.

Kwakweli maisha raha sana.
na hili kila baada ya siku 3 anataka kusuka nilimshauri anyoe tu maana kila siku 3 tsh50
 
Unakosea hapa ,,,, unamwambia aache kusuka ,lkn akishakupa uchi ,,unasahau unampa hela ya kusuka .so hawezi kuacha .

MPE somo lenye vitendo km unaona vyuma vimekaza , ila at least kwa wiki mbili Mara moja .
 
Hivi kumbe kuna wanaume wana miguu midogo.

Au huyo mwanamke ana mguu wa kiume mpka mvaliane viatu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
nilikaa nae chini aelewi anasema yeye kazoea kusuka tu ata kuweka dawa ajawahi weka
 
Hivi kumbe kuna wanaume wana miguu midogo.

Au huyo mwanamke ana mguu wa kiume mpka mvaliane viatu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
ushaona muarusha ana mguu mdogo
 
Back
Top Bottom