Ilankunda1234
JF-Expert Member
- Dec 28, 2015
- 4,840
- 4,813
Jana tu ilikuwa siku ya uhuru. Lakini wengine wanauuza kisa mtumwa wa ajira??Nilitaka kuishi nae kwakuwa ni mwajiriwa
Wewe ni zuzu wacha uzuzuliwe
Jana tu ilikuwa siku ya uhuru. Lakini wengine wanauuza kisa mtumwa wa ajira??Nilitaka kuishi nae kwakuwa ni mwajiriwa
Wewe ni zuzu wacha uzuzuliwe
Eeehhh bana ugeuka , hujui tuuu Wenda Kasura kako karelieve some pain mahali fulan ivi !!!.Ahahahaaa nitageuka mwaka mpya
Apo hata mi nmeona oana shida kwenye hiyo sentensi.Nilitaka kuishi nae kwakuwa ni mwajiriwa
Wewe ni zuzu wacha uzuzuliwe
Ahahaaaa nitageuka.Eeehhh bana ugeuka , hujui tuuu Wenda Kasura kako karelieve some pain mahali fulan ivi !!!.
Alafu ,lini utaandika post ,yaaan weee nimtu wakuchangia tuuuuu duuuhhh.
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Jiandae kulogwa tu
Ooohhh sawa ,ujue hata ivo ,, Ukitaka kua namaarifa sana nauelewe sana ,inabidi uwe msikilizaji alafu unachangia step kwa step .Ahahaaaa nitageuka.
Sina cha kupost ndio maana nmeona nibaki kuchangia tu.
Ahahaaaa nitageuka.
Sina cha kupost ndio maana nmeona nibaki kuchangia tu.
Kuna tatizo pahala
...na eti kwao mambo si mabaya,looh...wazee wavitonga utawajua tuu.Nilitaka kuishi nae kwakuwa ni mwajiriwa
Wewe ni zuzu wacha uzuzuliwe
Umri huo bado unavaa raba
Umesahau na boxer [emoji3] [emoji3] [emoji3]yaan kuchkua tu tsht tuwili tu na karaba ka 30000/- unatoa povu namna hyo ? je wale wanaopenda ndinga za wenzi wao anaondoka nalo anakuwa anatamba nalo town tuwaweke wapi? likiharibika anakurudishia !teh teh !usioe kwanza wewe jipange kiuchumi kwanza !
18 - of march - 2018.Hivi shule zinafunguliwa tarehe ngapi mwakani?
Ah vitu vidogooooooUmesahau na boxer [emoji3] [emoji3] [emoji3]