Hahahahahahahah! Leo sichangii chochote apa. Ngojeni tu nichekeHalafu kuna mademu wengine ukiwagonga tu wanatafuta namba ya mkeo hadi aipate. Akiipata atahakikisha anakunyoa magugumaji kisha anampigia mkeo na kumwambia..... kinyago wako huyo anakuja na kipara ngoto chake.... nimesha mfyeka msitu wake.... mwanamke wa hovyo wewe.... nimekutana na mijoka ya hatari Kwenye msitu wa mumeo
Tembelea hapa Quasserer Information Website | Empowering millionsNaweza kumtambuaje kabla ya kuchepuka nae?!
Namfahamu mmoja amefilisika hadi ameuza shell kisa mwanamke mweupe;
Ila na nyie wanaume mmezidi sana, mke unaye tena mzuri tu, lakini hamuishi kutamani.
Bujibuji njoo nikupeleke mahali ukasafishe nyota.
Lulu jamani Ana nini? Kila bwanake anakufa kifo cha ghafla
ana papuchi
Ina nini hiyo papuchi inayoua ua hivyo?
ana papuchi
kajaribu.....
Ndiyo useme nikupeleke kwa kuosha nyota.