Wanawake wengi wasomi au wenye kipato kizuri hawadumu kwenye mahusiano!

sisi tunaoa wasiosoma na ndio maana leo hii ukitembea mtaani kila mwanamke ambaye hajasoma basi kama hana kasoro lazima atakuwa kaolewa,lakini wale waliosoma leo hii wanahangaika wanapomaliza degree zao

wakuwaoa hawawaoni wa kuwaoa ndio unawakuta kibao makanisani wakienda kuombewa ili wapate mabwana,huoni kuwa kuna tatizo hapo waliosoma wanaogopwa kama nini.kazi mnayo mtaishia kupigishwa mimba tu halafu watu wanawakimbia hamuolewi ng'o!!
Wanaogopa.challenge! period
 
Wanaume hawajiamini kabisa ! Nilichokiacha ss ni Engineer with masters ! Am cpa n masters also, I had much belief in him than he believe in himself! kujishtukia tuu, ss ww una nyumba mi nitaaje kwako! nikamwambia basi nilipe pango ! hataki, nikamuambia I know bby we will be successful lets join forces hawezekani 2 masters ndani tulale njaa ! wapi nikaona isiwe tabu nikamuambia katafute Mwl wa primary

si nimekuambia wewe huyo jamaa siyo mjinga tena nampa big up kweli dume la kweli! jembe la kazi, nitakaaje kwako mwanamke unataka nijisahau siku tukigombana unifukuze kama mbwa asiye na kwao?? ni bora nikapange mtaani kila
asubuhi nikiamka najua kuwa nyumba siyo yangu nahitajika kujenga yangu,we unataka aje kukaa kwako ajisahau asijenge
baadae uanze kumnyanyasa?? bora jamaa akajiopolee demu wake wa elimu ya kawaida tu,kuliko kuingia ktk mitego yako.
 
mwanamke lazima uwe mnyenyekevu kwa bwana wako sema hivo vielimu vyenu uchwara vinawadanganya sana.sisi sio mungu ndio lakini ni wawakilishi wa mungu kwa wanawake usiponisikiliza
mimi huwezi ukamsikiliza mungu na wala hatattaka kusikiliza sala zako.
Seriously ww unajiita umesoma na upeo wako ndo huo!
 
si nimekuambia wewe huyo jamaa siyo mjinga tena nampa big up kweli dume la kweli! jembe la kazi, nitakaaje kwako mwanamke unataka nijisahau siku tukigombana unifukuze kama mbwa asiye na kwao?? ni bora nikapange mtaani kila p
asubuhi nikiamka najua kuwa nyumba siyo yangu nahitajika kujenga yangu,we unataka aje kukaa kwako ajisahau asijenge
baadae uanze kumnyanyasa?? bora jamaa akajiopolee demu wake wa elimu ya kawaida tu,kuliko kuingia ktk mitego yako.
Tunatofautiana kufanikiwa! I was in big project nikapata hela za fasta nikajenga ss yy ajira ilikuwa ya kawaida! Sikuona shida mm nijenge yy tukae wote as with t angejenga tuhamie kwake tupangishe yangu! Inferiority complex at work! Wa aina hii hata bureee sitaki! A man should have confidence , ndo walee nyoka anaingia ndani anapanda kitini! nani aue ss! mfyuuuu
 
Hahaaa...
Tarehe 23 karibu pale SUA mkuu, my wife anagraduate masters. Na jinsi anavyozidi kuongeza madegree ndo anazidi kuwa fiti kwenye mapenzi, nikikompea na wakati tunaanza. By the way nishaamshawishi mwakani aanze PhD ili nienjoy zaidi....

Mkuu shukuru Mungu, wewe umepata mke, walio wengi sio hivyo.

Fanya utafiti mdogo, Wanawake wenye nafasi zao hawana wanaume au wameachika.
Nenda kwenye vyuo vikuu, PhD za kike nyingi ni single, divorced. Wachache wenye ndoa zao wanajivuna na utaona hata wakiandika Dr...mwisho wanaweka (Mrs) maana ni kama kitu adimu.
 
Tunatofautiana kufanikiwa! I was in big project nikapata hela za fasta nikajenga ss yy ajira ilikuwa ya kawaida! Sikuona shida mm nijenge yy tukae wote as with t angejenga tuhamie kwake tupangishe yangu! Inferiority complex at work! Wa aina hii hata bureee sitaki! A man should have confidence , ndo walee nyoka anaingia ndani anapanda kitini! nani aue ss! mfyuuuu

hahahahahah!!! urafiki wa mamba na swala huo unadhani yeye alikuwa mjinga asione faida ya yote unayoelezea hayo?
ni wazi alishaujua mtego wako akaona ngoja nijinasue mapema kabla sijazama wewe ulitaka kumtawala tu najamaa jembe halitawaliki.
 
Mkuu shukuru Mungu, wewe umepata mke, walio wengi sio hivyo.

Fanya utafiti mdogo, Wanawake wenye nafasi zao hawana wanaume au wameachika.
Nenda kwenye vyuo vikuu, PhD za kike nyingi ni single, divorced. Wachache wenye ndoa zao wanajivuna na utaona hata wakiandika Dr...mwisho wanaweka (Mrs) maana ni kama kitu adimu.

kaka sijui nikupe nini we umesema ukweli kabisa,demu akisoma analinga anakuwa kama men sasa wanaume wawilli hawawezi kuongoza nyumba moja.mi nawajua wengi sana hata supervisor wangu alikuwa na phd lakini bwana hana
mpaka alikuwa anajisikia vibaya sometime akiwaona akina maimuna wetu wanavyokumbatiwa na mabwana zao
 
Mwisho huishia kudandia waume za watu...sasa akiwa ni mtu wa 'heshima' inamuwia vigumu kuonyesha waziwazi na hivyo anaendelea kuumia.

Mifano iko mingi ya wanawake walioko juu ambao hawana waume, lakini kwa wanaume sio kawaida. Tusiende mbali hata kwenye serikali yetu wapo, chunguza. Hii inaonyesha mwanamke kujitawala ni tatizo. Mwanamke inabidi awe chini ya utawala wa mwanaume angalau kwenye maswala ya unyumba.

Wanawake wanaoweza kubalance mambo ya kazini na kujituma nyumbani wanakuwa wanaume bora. Kuna baadhi ya wakina dada nawafahamu, wamesoma lakini ukipiga nao story za nyumbani wao wanasema wakifika nyumbani wao kama watoto, wanawasikiliza waume zao. Wanatoa dozi kama kawaida ili kupinguza vishawishi na kulinda ndoa zao. Hao ndio wachache waliobarikiwa!

Kwa ufupi mahitaji ya mwanaume ni machache, heshima, chakula, na tendo la ndoa. Basi! Mwanaume haitaji kingine! Mwanamke anayefanya vizuri katika haya matatu, mwanaume atampenda. Ndio maana mwanawake wanalalamika HG wanachukua waume zao kwani wanaume wakiona hivyo vitatu vinawezekana kupatikana kwa HG, ahaha why not?

Kuna mengi ya kujifunza kwa wanandoa. Ni changamoto kwetu sote, tuzirekebishe kasoro hizo.
 
Haya maneno yanaukweli kiasi fulani....msomeni huyu mtu between the line na mtapata kitu fulani.
Binafsi nasema ni kweli baadhi ya wanawake waliosoma sana (wengi wao) ni janga kwenye maisha
ya ndoa.
Ni kheri mara mia ujitafutie kuku wako wa kienyeji na ufanyenae maisha kuliko kutaka misifa ya kuoa
kuku wa kizungu. Tuache unafiki na tuwe wakweli' ni kweli baadhi ya wanawake wasomi na hasa akiwa
na kazi mzuri ni janga kwenye maisha ya ndoa. HUTAKI UNAACHA

Mkuu umeongea ukweli mtupu, ila nirekebishe kidogo hapo kwenye nyekundu..sio baadhi bali wengi wa wanawake wasomi...

Nimesoma pale chuo kikuu mlimani..kuna PhD nilikuwa nazitamani maisha yao, zinaendesha magari makali ila zilikuwa single parenting. Tutumie vyuo vyetu kwama mfano maana ndio sehemu inayoashiria 'usomi'.
 
Wanaume hawajiamini kabisa ! Nilichokiacha ss ni Engineer with masters ! Am cpa n masters also, I had much belief in him than he believe in himself! kujishtukia tuu, ss ww una nyumba mi nitaaje kwako! nikamwambia basi nilipe pango ! hataki, nikamuambia I know bby we will be successful lets join forces hawezekani 2 masters ndani tulale njaa ! wapi nikaona isiwe tabu nikamuambia katafute Mwl wa primary

huyo jamaa jembe,kaona mbali sana...mkikutana mwambie JF wanakupa big up!
Halafu sijui kwanin tunapenda kuandika swanglish?
 
Mimi nina marafiki zangu wengi ambao wanalalamika sana kuhusu wake zao kwamba hawajui mapenzi na hawana muda nao. Kila mmoja nikizidi kumuuliza anasema mke wake ni graduate! Hili ninalipata hata mimi kwenye ndoa yangu. Je nyie wanawake, mkisoma ndo kisa cha kutotambua wajibu wenu wa ndoa? Naona ndoa nyingi zilizotulia ni zile ambazo wanaume wameoa wanawake wenye elimu kidogo tu, labda Std 7 leaver au form 4 failure. Ukimfungulia kijisaluni an tailoring mart, na ukimpatia ki Vitz, anaridhika sana na ukirudi home anakupokea na unajipatia kila kitu kwa starehe! Nawapongeza wenye wake wenye elimu kiasi. Kama hujaoa, jaribu kuwa na girlfriend mwenye elimu kiasi achana hawa wasomi ambao ni mizigo!

Kwani wewe na hao marafiki zako, mmelazimishwa kuoa wasomi??? au ndio nyinyi mnatafuta wepesi wa maisha then unakuja jf kulalamika, acha kulalamikia maamuzi yako.
 
Aseee una vision, big up, ungekomajeeee?

Back
Top Bottom