Bonde la Baraka
JF-Expert Member
- Sep 22, 2016
- 4,580
- 7,938
Aha ha haa mbona kama povu dada angu?Me nakushauri kiroho safi tafta mwanamke wa aina yako..usijilazimishe kuwa juu na wakati huna uwezo huo...jitahdi sana kujali yako...!kila la heri
Ndo hivyo mkuu ila ukweli upo hivyo hizi siku wanawake wapo vizuri kuliko wanaume, unaweza kukutana na wanawake 10 wote wakidrive haijuulikani huo usagiri ni wa kwao, wamekodi ama wamehongwa lakini ndo hivyo mwenzio anadrive wakati wewe ukipigwa na jua mwanzo mwisho...iko hivi ku fake maisha ni sehemu ya maisha, sababu binaadam wote tunatamani maisha mazuri..
Kila mtu anaishi atakavyo ilimladi asivunje katiba ya nchi alafu kumbuka hapa duniani tunapita tu unataka afe ajaimiliki simu anayo penda
Juzi nimekutana na katoto kazuuuri,status yake insta matata sana. Nikachukua namba fasta,woga ukanijaa halafu naogopa sana kukataliwa. Baada ya dakika 2 tu nikaombwa hela. Nikamchana nimeuwawa. Kakaniambia hata buku 5 nipe tu. Vitoto vina maisha magumu sana japo wanapendeza balaa. Bila shaka wanauza vitumbua vyao
Fake it,till you make it.Ndo hivyo mkuu ila ukweli upo hivyo hizi siku wanawake wapo vizuri kuliko wanaume, unaweza kukutana na wanawake 10 wote wakidrive haijuulikani huo usagiri ni wa kwao, wamekodi ama wamehongwa lakini ndo hivyo mwenzio anadrive wakati wewe ukipigwa na jua mwanzo mwisho...iko hivi ku fake maisha ni sehemu ya maisha, sababu binaadam wote tunatamani maisha mazuri..
HahahahaMjini hapa alikuja jamaa yangu kutoka Dodoma akakutana na binti pale elements akajua amefika next day akampeleka dinner na mambo kibao. Vile demu kajitambulisha mtoto wa Balozi jamaa limbukeni akachana wallet na end day akampa USD 200 za tax sasa analalamika asubuh dem simu haipatkan.
Watu wana pretend kuwa wanaish maisha safi kumbe wapiJuzi nimekutana na katoto kazuuuri,status yake insta matata sana. Nikachukua namba fasta,woga ukanijaa halafu naogopa sana kukataliwa. Baada ya dakika 2 tu nikaombwa hela. Nikamchana nimeuwawa. Kakaniambia hata buku 5 nipe tu. Vitoto vina maisha magumu sana japo wanapendeza balaa. Bila shaka wanauza vitumbua vyao
unadhani povu mkuu..??hapana nimejitahd kumsaidia..kuna mambo hata uyafatilie vip hayakusaidii kitu maishan mwako...!kuna wadada wanapenda showoff sasa huyu inaonekana hapendi showoff..kwann asumbuke na wasopenda hayo mambo wapo kibwena,jus ushauri tu!Aha ha haa mbona kama povu dada angu?