Wanawake wengi walioolewa ni wepesi

tehe tehe tehe hongera nyota imeng'aaaaaa hiyo
 
Nikikukuta na Mke
Wangu Kichwaaaaa cha Mb** yako halali yangu...
 
Ni Kweli kabisa Kuna Mmoja Anasababisha mpaka Sasa iv inabid nichelewe kurudi mana Ni Majanga,
Hapo anapoishi wamepanga na wako kama watu saba Hivyo wakati akifua nguo kamaba za Kuanikia zinajaa kutokana na wingi wawatu hivyo yeye kuchukua Jukumu la Kuja Kutumia Kamba ya mahali Ninapo Ishi. Utakuja Labda nguo zimekauka Mapema lakini Atasubiri mpaka Mda ambao huwa narudi kutoka Job nayeye ndipo anajidai kuja kuanua na akija lazima agonge kwangu na ukimwambia karibu anaingia Hadi ndani Bila hata ya kuogopa kwamba naishi Peke yangu. Inasababisha hatakama Nilikuwa sina ratiba ya Kutoka nimwambie naondoka mana anaganda halafu unakuta kavaa Mavazi ya ajabu kitu amabacho mme wake akimkuta kwangu hawezi kutuelewa
yani Kasababisha mpaka sasa iv natoka Job sa kumi Jioni lakin inabid nifike saa mbili Usiku Kukwepa Balaa.
 
wanawake kazi ipo wiki hii, full kuporomoshewa madongo tu. Haya njoo mtujibu
 
Jumlisha mama'ako na ndugu zako wa kike waliolewa,wakati mwingine uigizage japo adabu kidogo basi kwani kutulia au kuchepuka ni tabia ya mtu haijalishi kaoa,kaolewa au bado
 

good advertisement......!!!!!
 
mshindweeee kwan nyie wanaume jeee ptuuuuu
 

Mkuu tigo yako ipo flexible uwe tayari kuliwa na wewe
 
kaka mbona kama umetaja idadi kubwa sana! mtaan kwenu basi wanawake wote wako desperate sana???
 
Mke wa mtu, hata kwa dawa...!!
 
Mke wa mtu, hata kwa dawa...!!

Jamaa litakuwa hendsam sana. yani wake za marafiki zake wanalishobokea.... hata ambao hawajawahi kuliona!!!! Shigongo kakuza şana vipaji vya utunzi.
 
ndoa ni institution inayoongeza stress, vifo na magonjwa duniani
 
Mimi nashauri uwaambie au kuwaonya hao hao wanawake wanaokusumbua kwakuwa hiyo ni tabia personal si general kwa kila mwanamke.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…