Wanawake wengi tumebadilika kitabia kutokana na tabia za waume zetu

Karina

Member
Jun 17, 2011
51
16
Jamani wanawake wa JF nafikiri mtakubaliana na mimi kuwa wanawake wengi tulioko kwenye ndoa sivyo tulivyo. Tumebadilika kutokana na tabia mbaya za waume zetu. wametusababisha tumekuwa na Gubu, Hasira, Kiburi, Dharau, Mawazo, Magonjwa, Ulevi, na hata utumiaji wa pesa hovyo kwa madai kwamba mbona yeye anapeleka kwa wanawake zake huko nje let me enjoy. Wanawke hoyeeeeeeeeeeee:israel:
 
karina upo? teh! kweli bwana, ndio maana wengi wenu siku hzi hata bangi na sigara mnavuta teh! Mfano ni whitiney hounston!
 
Kwanini usibadilike kitabia wakati umekubali ndoa!!

hayo yote uliyosema hapo ni matokeo ya ndoa yenye misukosuko

nadhani hujachelewa kamuone mtaalam, au omba ushauri utabadilika tu na kuwa na Tabia mbaya tena. unaweza kumsaidia na yeye akabadilika pia so. si kweli ni matatizo ambayo yana hitaji solution ya haraka.

pole sana, ila si wote wanabadilika tabia kwa maovu....unaweza ukabadilika kwa mazuri pia. kama kwenda kusali,kurudi mapema,na mengineyo

seriously kamuone mtaalaam wa saikolojia au kiongozi wa dini,

pole sana.
 
Gagurito usicheke haya mambo yanatia hasira sana. mtu unaishi as if .......
 
sasa hayo mabadiliko na matumizi ya vilevi etc unaemkomoa ni nani???
 
Nakubaliana na wewe 100% ,kuna wakati unafika unajitazama na kuona kabisa sio wewe na hii haimanishi kwamba ni wabaya kama Boss anavosema laiti kama tungepewa mioyo kama yao ndoa nyingi zisingekuwepo.

kudharauliwa,kukandamizwa na mateso mengi wanayopitia wamama(wanavumilia sana) huwageuza na kuwa tofauti kabisa
.
sio wote
wazuri wapo pia still
 
Kwanini usibadilike kitabia wakati umekubali ndoa!!

hayo yote uliyosema hapo ni matokeo ya ndoa yenye misukosuko

nadhani hujachelewa kamuone mtaalam, au omba ushauri utabadilika tu na kuwa na Tabia mbaya tena. unaweza kumsaidia na yeye akabadilika pia so. si kweli ni matatizo ambayo yana hitaji solution ya haraka.

pole sana, ila si wote wanabadilika tabia kwa maovu....unaweza ukabadilika kwa mazuri pia. kama kwenda kusali,kurudi mapema,na mengineyo

seriously kamuone mtaalaam wa saikolojia au kiongozi wa dini,

pole sana.
But who is the sourse????? umenitoa kwetu sikuhi kuongea mwenyewe kama chizi wala kumuwazia mwingine mabaya but now.........woh!!!!!! nitapiga keleuwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Usinikumbushe jana usiku mume na mke wanagombana mama amekuwa kama mwehu kabisa anamwambia mumewe kila siku kuchelewa huna jumatatu wala weekend,halafu na huo umalaya kila siku wanawake tofauti akawa anamtajia mpaka na wanawake anaotembea nao..........wana watoto wakubwa ikabidi waingilie kutuliza mama anawaambia wanawe niacheni nimechoka jamani.

But who is the sourse????? umenitoa kwetu sikuhi kuongea mwenyewe kama chizi wala kumuwazia mwingine mabaya but now.........woh!!!!!! nitapiga keleuwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Nafikiri kufanya hayo yote wala sio solution! Ni bora ukatafuta mbinu mbadala ya kumbadilisha mume wako na kuiponya ndoa yako! Kumkomoa mume wako ni sawa na kujikomoa mwenywe!
Karen hivi vitu vinakuja vyenyewe automatic unashangaa hutamani kumjibu vizuri cos kakujia asubuhi hutamani hata kuongea cos akifungua mdomo wake ni pombe tupu na maneno ya kuudhu. so vitu vyote hivyo unashangaa unavifanya japo hukulelewa hivyo
 
VOR unapokuwa kwenye shida kuna wakati unaona giza kabisa .........i have been there ...i have done that..... lakini yote mapito jitahidi sana kutafuta ushauri kwa watu wenye busara bila kusahau kusali sana.

Usikubali mtu yoyote akubadilishe who you really are..., Unless its for the Better...
"Two Wrongs dont make it Right"
 
Utatabasamu na kucheka na mtu ambaye anakunyanyasa?? so mpaka hapo tu umeshaishi vile ambayo reality hukuwa hivyo
 
Jamani wanawake wa JF nafikiri mtakubaliana na mimi kuwa wanawake wengi tulioko kwenye ndoa sivyo tulivyo. Tumebadilika kutokana na tabia mbaya za waume zetu. wametusababisha tumekuwa na Gubu, Hasira, Kiburi, Dharau, Mawazo, Magonjwa, Ulevi, na hata utumiaji wa pesa hovyo kwa madai kwamba mbona yeye anapeleka kwa wanawake zake huko nje let me enjoy. Wanawke hoyeeeeeeeeeeee:israel:

....na hili la siku hizi la kutoa line ya tigo kwaajili ya kujiexpress,
nalo waume zenu wamewasababishia......?
 
VOR unapokuwa kwenye shida kuna wakati unaona giza kabisa .........i have been there ...i have done that..... lakini yote mapito jitahidi sana kutafuta ushauri kwa watu wenye busara bila kusahau kusali sana.

Utatabasamu na kucheka na mtu ambaye anakunyanyasa?? so mpaka hapo tu umeshaishi vile ambayo reality hukuwa hivyo

Point yangu ni kwamba kuliko mtu akubadilishe uwe kituko au ukose raha, kufanya mambo yasiyofaa n.k. ni bora umuache na ujiondokee kuliko to turn into a devil,

Ukweli ni kwamba kwenye hayo mashindano yenu hakuna Mshindi..., it all right kukasirika na kukemeana na argument za kawaida ila zile za kunywa pombe na kutoka nje ya ndoa sababu yeye ametoka ni kuvuka mipaka
 
Back
Top Bottom