Nkikumbuka walivyofanyiwa PJ Washington, Mason Greenwood, Reginald Mengi, etc mwanamke ni mnyama hatari sana kuishi naye, especially kama hana hisia na wewe.
Na yuko kwako sababu ya hela, mwanamke ukiwa unamtongoza halafu akawa hana hisia na wewe, anaweza hata akakuua huku anakuangalia usoni bila kuwa na chembe ya huruma juu yako, sema wanaume wengi hatujaligundua hilo kwasababu ya kupofushwa na genye na Mapenzi
Kama wanaume wenzangu hamuamini ninayoongea, jiulize yule mdada uliemtongoza halafu akakukataa, alikutreat vipi, Wengi wao huenda hata walikupa treatment mbaya Ambazo hazikua na ulazima,
Huenda ni wachache walikukataa kistaarabu sana Ukaridhika.