Utajuaje ni mfanya biashara??Acha kutongoza wafanya biashara
Tatizo sio pesa,nidhamu kwanzaSi useme tuu huna hela brazaa,.kwani shin'ngapii?
, anasema ivyoivyo ananitaka Dada shikamoo,ja ukoMkuu BUMIJA naomba unisaidie Shiii. 800,000/=
Wanawake wa kileo wengi ukimtongoza leo na anakuambia shida hapo hapo.Na wengi hawaolewi kwa visa hivi.Fahamiana na mtu kwanza na mengine yataendelea.Wengi mnaingia mtegoni kwa Ku expose matatizo yenu mapema.Povu ruksa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwan mtu akihitaji mchumba anakua hana chaguzi yaan yoyote yeye amzoe? Amekwambia umemvutia kosa lake liko wapi?Juzi kuna mmoja ametangaza anatafuta mchumba, nikamwambia mm akaniambia njoo dm, sikuenda, akanitext dm, akaniambia nimtumie picha, nikamtumia, akaniambia kumetokea watu zaidi ya 20 lakini ww ndie nimekupa nafasi ya kwanza coz unanivutia, nilishtuka kwanza, nikajiuliza akilini mwangu huyu anatafuta mchumba ama handsome? Hapohapo ktk akili yngu nikamshusha thamani, akaniambia tena mm sipendi midevu nataka uyakate, nikamwambia ndevu zangu nazipenda kuliko kitu chochote, nikampotezea akaendelea kunitafuta, mwisho nilipomwambia ukweli kama niko nje ya nchi aliandika ukurasa wa masms mpka nikalogoff, yaani hakutaka tena mbwembwe, anasema ivyoivyo ananitaka
Nikablock kama kawaida
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo kama huyo uliekutana nae sidhani hata kama mlisumbuana kupanga bei ya bidhaa ulisema buku2 akasema nachukua hioUtajuaje ni mfanya biashara??
Sasa basi muhandsome tushakujuaJuzi kuna mmoja ametangaza anatafuta mchumba, nikamwambia mm akaniambia njoo dm, sikuenda, akanitext dm, akaniambia nimtumie picha, nikamtumia, akaniambia kumetokea watu zaidi ya 20 lakini ww ndie nimekupa nafasi ya kwanza coz unanivutia, nilishtuka kwanza, nikajiuliza akilini mwangu huyu anatafuta mchumba ama handsome? Hapohapo ktk akili yngu nikamshusha thamani, akaniambia tena mm sipendi midevu nataka uyakate, nikamwambia ndevu zangu nazipenda kuliko kitu chochote, nikampotezea akaendelea kunitafuta, mwisho nilipomwambia ukweli kama niko nje ya nchi aliandika ukurasa wa masms mpka nikalogoff, yaani hakutaka tena mbwembwe, anasema ivyoivyo ananitaka
Nikablock kama kawaida
Sent using Jamii Forums mobile app
Marahaba. Yeto, wakindana na kighera, hahahahahahhahahah.
Na ukiwa mwepesi kutoa anatangaza kwa shoga zake nimelipata buzi hilo linachunika hatariiii, kiufupi bwege flan hivi limbukeni,Wanataka kuwa na assurance kwamba wanapoingia watapata huduma au la.