Wanawake wengi Hawapendi Kondom

Wanawake wengi Hawapendi Kondom

kisiki kibichi

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2019
Posts
449
Reaction score
282
Wanawake wengi Hawapendi KONDOM..ukiuliza utasikia Sijuhi mwenyewe.
Mwenye Jukumu LA Kutumia kondom ni Mwanaume na Si Mwanamke.
Hatari Sana.

NB;Wanawake wengi wanapenda sana kuteleza
 
Wanawake wengi Hawapendi KONDOM..ukiuliza utasikia Sijuhi mwenyewe.
Mwenye Jukumu LA Kutumia kondom ni Mwanaume na Si Mwanamke.
Hatari Sana.

NB;Wanawake wengi wanapenda sana kuteleza
Mbona hilo swala nila tangu zamani mkuu,au kwako kiambiwa hivyo limekushitua mno?
 
Nakubali hoja. Zaidi ya 68% ya wanawake, durex hawaitaki. Hoja ni kupenda kuzisikia shahawa zikipiga kuta za papuchi na kuanza kutembea kuelekea cervix. Ila wengine hawazipendi tu bila kuwa na maelezo mazuri kushadidia hoja zao

Bazazi!
 
....Piga kavu tu
Ukipata VVU ni wewe tu

Wao wanakuambia please usikojolee humo humo
Wanawake wengi Hawapendi KONDOM..ukiuliza utasikia Sijuhi mwenyewe.
Mwenye Jukumu LA Kutumia kondom ni Mwanaume na Si Mwanamke.
Hatari Sana.

NB;Wanawake wengi wanapenda sana kuteleza
 
Ndio maana mwanamke ni rahisi kuleta magonjwa ndani...y.. ndoa.....mke anapo toka nje ya ndoa hana mmulaka ya matumizi ya kondomu anae amua watumie kondom au wasitumie ni jamaa anae mkojoza,na ifahamike mke anapo toka nje mara nyingi anatoka na mme wa mtu hivyo humuamini,ukweli usio pingika mwanamke mbaka uje ujue anatoka nje ni miaka mingi tu itapita.
 
Kwa kuna mtu anayependa kondomu au tunatumia tu kwa sababu inahitajika kujikinga. Hakuna anayependa kula pipi ndani ganda lake. Anayedai anapenda bila shaka huyo hajawahi onja nyama kwa nyama aone utamu uliopo.
 
Wanawake wengi Hawapendi KONDOM..ukiuliza utasikia Sijuhi mwenyewe.
Mwenye Jukumu LA Kutumia kondom ni Mwanaume na Si Mwanamke.
Hatari Sana.

NB;Wanawake wengi wanapenda sana kuteleza

Ni kweli kabisa kiongozi.
 
Wanawake wengi Hawapendi KONDOM..ukiuliza utasikia Sijuhi mwenyewe.
Mwenye Jukumu LA Kutumia kondom ni Mwanaume na Si Mwanamke.
Hatari Sana.

NB;Wanawake wengi wanapenda sana kuteleza
Iko hivi..
Ule mpira unawachubua kuta za **** hasa ukute mwanamke sio mbichi vya kutosha. Na hiyo michubuo huwaua na pia wakienda kojoa mkojo ni chumvi chumvi wanaumia...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom