Wanawake wengi hawapendi condom

Kimsingi hakuna anayepenDa Condom
Kama wanadhani dawa ya ukimwi ni ndomu basi wame- fail, mnaopenda kuvaa condom jiandaeni kuja kuwa wazazi wa wototo mataila, mdhungu si fala wa kuleta hizo mambo.

anajua kuwa miaka ijayo kuna uwezekano wa waafrica kufkia maendeleo yao, sasa basi anaanza na kuwaadhoofishia huo uzao wenu!!

unakuta litoto linafundishwa hata halielewi. Mimi ndomu siwezi, kama bahofia ukimwi ni heli nkaacha sexual kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Loh!
Aibu nimeona mimi!
 
Kama King zilla kajitunza na still kafa before 30 yrs we ni nani? Kama ilipangwa ufe kwa Mbunye utadanja nayo tu
maisha ya mwanadam hakika yamepangwa, tena maandiko yanadia amelaaniwa aishie kwa kumtegemea mwanadam, utaishike kwa kuziamin condom zilizotengenezwa kwa mikono ya mwanadam ww?!![emoji848][emoji848][emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
me nimeshafanya si chini ya mwaka mmoja(2016 up to date) nime- do si chini ya wanawake 300+ lkn sina.. Maisha yanapangwa unaweza usiwe mgkngaji ukaja ukaupata hata kwa goli1. Ama unataka kusema walio nao walikuwa malaya sana kuliko wasio nao?!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…