Yaani fursa ni kibao! Jina lenyewe 'Valentina' linaita! wasiwasi wangu wenzako watakuonea wivu! Wengine tunajiuliza nani atafanikiwa kufungua pochi zetu!
Magonjwa Yalivyojaa Hata Sina Hamu Nao.Na Wao Wasiwe Na Hamu Na Sisi.Oa Ama Olewa Mtulie.Dunia Ina Wanawake Wengi Na Huwezi Kuwamaliza.Pesa Tunajipendekeza Kutoa Wenyewe Ili Tuonekane Vidume