punguza idadiMkuu, mizinga inaniandama ,tumezoeana ndo imekuwa tatizo
Hali sio nzuri mtaani, simu zinazoingia ni za mizinga tupu, ukimpigia tu simu mdada mnayefahamiana ndo kama tiketi ya kukuomba hela, michepuko mingine inazidi kufanya booking sasa naachaje njia kuu nikasherekee sikukuu na mchepuko?.Hata mtaani nikisalimia wadada tu na stori kidogo kifuatacho ni hela ya sikukuu.
Naanza kuamini kuwa ni rahisi kuwapata wanawake katika kipindi hiki kuliko kipindi kingine chochote.
Baba mchungaji Illovo njoo nmekumbuka ile siku ulisema wanawake wameanza kutafuta hela mapema kwa kupiga vizinga watu....
nimekuja! nilisema hapa kama tahadhali wengi wakabeza. nikatoa angalizo kwa vijana kuwa makini. na mada nyingne nimetoa juzi tu kuwa wamepanga kuwachuna wanaume pesa alafu cku ckukuu wanavaa pedi zao ili ww ucpate kitu. MUNGU OKOA VIJANA
We ni Me au Ke?