Wanawake wengi hawajui wanaume wanapenda nini

Wanawake wengi hawajui wanaume wanapenda nini

Msulibasi

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2014
Posts
5,957
Reaction score
8,005
Wanawake wengi hawajui wanaume wanapenda nini.Kutokana na kutokufahamu waume zao au wapenzi wao wanapendelea kitu gani wanawake huishia kujaribu jaribu kila kitu na kuhoji utasikia nimependeza,ama utasikia hivi we unanipendea nini hasa.

Ama akimuona mwenye makalio makubwa utasikia anakutania ona kitu hicho kwa kifupi ni wazito kufahamu na wanaamini kwenye ujumlajumla kwamba wanaume wanapendelea may be nywele kumbe huyo hana time na nywele ama kucha kumbe huyo wala mara kuvaa nguo fupi kumbe ndo maudhi yanazidi.
 
Matatizo sio kuwa hatujui kitu gani tunapenda, lakini tunataka pia mmnotice wakati tukipendeza au hata tukiweka rangi za kucha yani kusifiwa au kuambiwa kila saa wewe mzuri, sio kuwa tuna insecurity bali ni nature lakini isizidi. Ukiona mwanamke anauliza compliment please do so, kama amevaa fupi lakini hukupenda...mwambie baby lakini naona nguo ile nyingine inakupendeza zaidi.

Hebu jifundisheni hii lugha majumbani kwenu...mtapata amani sana.
 
Dada samahani, niongeze NYAMA CHOMA, nimalize dona langu! Evelyn Salt umeniongezea hamu ya kula, karibu ugali nyama choma, hapa COET Cafeteria
w'end ntajisogeza...ila mbn wala kwenye cafe ya chuo dent, staff au upo mawindoni???!!!
 
Last edited by a moderator:
Wanawake wengi hawajui wanaume wanapenda nini.Kutokana na kutokufahamu waume zao au wapenzi wao wanapendelea kitu gani wanawake huishia kujaribu jaribu kila kitu na kuhoji utasikia nimependeza,ama utasikia hivi we unanipendea nini hasa.

Ama akimuona mwenye makalio makubwa utasikia anakutania ona kitu hicho kwa kifupi ni wazito kufahamu na wanaamini kwenye ujumlajumla kwamba wanaume wanapendelea may be nywele kumbe huyo hana time na nywele ama kucha kumbe huyo wala mara kuvaa nguo fupi kumbe ndo maudhi yanazidi.

Kupendeza au kutopendeza kwa wanawake mara nyingi ni influence ya wanawake wenzao. Rafiki au ndugu yake ndio atatoa comment kama kapendeza au la. Mwanaume mpaka useme kitu hakijapendeza inakuwa kimezidi mno. Mfano, anaenda saluni, sawa atakuaga lakini hukuambii atasuka style gani. Ile style aliyoenda nayo inaweza kubadilika huko huko saluni kufuatana na maoni ya huko. Sasa akirudi na kukuliza - je nimependeza utamjibu nini? Useme hupendezi wakati ndio mnajiandaa kwenda sehemu na muda umeisha. Unagunaguna tu - upo safi!
 
Back
Top Bottom