Wanawake wembamba (vimodo) na mtindo wao mpya

Wanawake wembamba (vimodo) na mtindo wao mpya

Mange mkuu navutiwa uwoya si unaona alivuliwa live kipilipili kile na angesimama ndio ungechoka, sema editing za picha na rangi zinachanganya watu, na mwanamke mwenye shape akivaa nguno unadata akivua sasa wengine tako linacheza limetepeta balaa
😁😁😁 mko wachache sana mkuu, ila ata wadada wanajua men wengi wanapenda shape ndo mana kuna vigodoro siku hizi vya kujaladia.. dunia inaenda kasi mno
 
ngoJa tumsaidie mleta mada
images-1117.jpg
 
😁😁😁 mko wachache sana mkuu, ila ata wadada wanajua men wengi wanapenda shape ndo mana kuna vigodoro siku hizi vya kujaladia.. dunia inaenda kasi mno
Kuna ka dada sio kazuri kisura ila Sasa ka modo kana kishepu amaizing rafik ake akanambia anavaaga kigodo...kwel kigodoro kinasaidiaga Sanaa Kwa wadada...
 
Ni kwa kipindi kirefu kidogo baada ya wanawake wenye makalio makubwa kufanya mapinduzi kuanzia miaka ya hivi karibuni baada ya kuwekwa kapuni kwa muda mrefu.

Miaka ya nyuma kidogo wanawake wenye makalio makubwa walikua hawana soko kabisa yani na walikua na huzuni kubwa sana na kukosa confidensi mbele za watu kwa sababu wanawake ambao walikua na soko kipindi hicho ni wembamba walikua wakitamba kwa jina la english figa na walisumbua sana kila kona kila chocho iwe kwenye video za music yaani kwenye burudani kote wao tu.

Ila sijui walizembea wapi wakaja kupitwa na hawa wenye matako na hawa nao wamegoma kuachia kijiti. Yaani wamekaba kila upenyo hadi hawa ma englishi figa wameduaa wanatafuta jinsi ya kurudi kwenye soko tena.

Nao wamekuja na hii njia ya kuvaa taiti nyepesi zinazo chora vitumbua vyao ...aisee hii mbinu naiona inaenda kuwarudisha tena kwenye ramani. Hii mbinu mwanaume rijali yoyote lazima ishike atensheni yake hata kama hupendi. Yaani kwa hapa mmecheza kama pele.

Naamini wanaume walio kutana na huu mtego watakua mashuhuda. Kuweza kutofautisha ukipishana na kimodo alie valia hiyo taiti ilio chora kitumbua na ukipishana na demu mwenye makalio yupi anasisimua zaidi?

Mimi mwenzenu imenikuta yaani ile raman ya kitumbua inanisumbua haitaki kutoka kichwani kabisa. Na kunifanya niwe na nyege muda mwingi.
View attachment 2452326View attachment 2452328
kituo kifuatacho ni kuanza kukaa uchi tu.. african hatuna akili
 
Sisi tunaangalia tako we unaangalia sura? Kwani unat*mba sura?
Kiukwel mie napenda chura ila lazima na sura iwepo.... of course nachagua. Ww nakufananisha na jamaa yangu mmoja hivi anasema yeye hata mwanamke awe na chongo au sura ya babu yake ila akiwa na mzigo nyuma hamuachi. Ila anakwenda mbali zaidi maana yeye ni muhumini wa Buza (kwa mpalange) na kwenye VX yake anatembea na KY jelly moja kwa moja.
 
Huyo jamaa yako inabidi tumtie katika maombi aisee ili atoke huko alikofika

Kwenye haya mambo ni kila mtu na lwake ndugu yangu. Cha muhimu kila mtu apate akipendacho ili aridhike, japo kwa muda. Maisha menyewe ni haya haya ati!
 
kituo kifuatacho ni kuanza kukaa uchi tu.. african hatuna akili
Kwa kigezo hiki nadhani ambao hawana akili ni huko Ulaya na Marekani maana wao ndiyo walianza kukaa uchi zamani sana. Sema sisi tuna tabia ya kuiga mpaka tunapitiliza na kuwazidi hata hao tunaowaiga. Tatizo letu kubwa lipo hapo...na hapo ndipo penye ujinga wetu!
 
Kuna jamaa yangu alikimbiliaga demu kisa ana matako nikamwambia my friend, akizaa uyo ndani ya miaka mitatu utaonekana upo mama yako mzazi akawa mbishi leo hii jamaa akuwa na uyo dada utasema wapo na mama yake kazeeka tayali
Kuna watu wanajua kuponda,eti mama mzazi
 
Back
Top Bottom