Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,101
Ukweli ni kwamba wanawake wema wa kuowa na ma gentlemen tupo wengi sana sema hatuonekani kirahisi bila kutumia hekima!
Mwanamke mwema inakuwa ngumu kumtambua sababu Wenda hana!
A:Figure 8
B:Chura
C:Labda ni mweusi kama mkaa
D:Labda hana account Instagram
E:Labda hana outing za Mara kwa Mara!
Hata waohaji wapo ila hawaonekani maybe kwa sasa hawana!
A:Six pack
B:Hawasuki nywele
C:Hawapost chochote Instagram
D:Hawana V6
N:B,kama una jicho kama la ndege Tai ni rahisi kuona!
Sent by Diaspora