Elections 2010 Wanawake watatuangusha uchaguzi huu wabadilike

Halafu ni wanawake wa aina gani basi? Ni wale illiterate (I'm sorry to soy -- but due to CCM's 50-year rule!) -- wapika vitumbua and the like!!! Believe me, huwezi kumuona an employed eduacted woman being a fan of JK -- never! Labda ma-CD!

I am now starting to believe that CCM inafanya makusudi kuwapa Watz elimu ya hovyo!
 
Mara nyingi sana napata mawazo ya watu wengi sana kuhusu uchaguzi wa mwaka huu,
nikikutana na akina mama karibia wote, wanalaumu sana JK kwa mambo alivyoyaendesha, lakini wanasema Upinzania hauwezi kushinda, eti CCM itashinda,

lakini linaloniuma sana ni kwamba wanasema kura yao hawataki kuipoteza kumpa mtu ambaye hatashinda. Najaribu kuwaelekeza kuwa hiyo ndo msg kwa kiongozi wao, lakini hawataki.

kwa hili naona kuwa watatupoteza sana maana wanataarifa juu ya utendaji mbovu wa JK lakini hawataki kumtosa kwa kura zao, Jamani tuwaelimishe popote tunapokuwa, kwa hizi siku za majeruhi!
kweli aisee...hata mimi nimeshuhudia hii sehemu...
 
Back
Top Bottom