Wanawake watatuangusha uchaguzi huu wabadilike | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanawake watatuangusha uchaguzi huu wabadilike

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by MTWA, Oct 27, 2010.

 1. MTWA

  MTWA JF-Expert Member

  #1
  Oct 27, 2010
  Joined: Aug 5, 2009
  Messages: 1,026
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Mara nyingi sana napata mawazo ya watu wengi sana kuhusu uchaguzi wa mwaka huu,
  nikikutana na akina mama karibia wote, wanalaumu sana JK kwa mambo alivyoyaendesha, lakini wanasema Upinzania hauwezi kushinda, eti CCM itashinda,

  lakini linaloniuma sana ni kwamba wanasema kura yao hawataki kuipoteza kumpa mtu ambaye hatashinda. Najaribu kuwaelekeza kuwa hiyo ndo msg kwa kiongozi wao, lakini hawataki.

  kwa hili naona kuwa watatupoteza sana maana wanataarifa juu ya utendaji mbovu wa JK lakini hawataki kumtosa kwa kura zao, Jamani tuwaelimishe popote tunapokuwa, kwa hizi siku za majeruhi!
   
 2. W

  WildCard JF-Expert Member

  #2
  Oct 27, 2010
  Joined: Apr 22, 2008
  Messages: 7,477
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  Tatizo kubwa zaidi ni kwenye vyombo vya DOLA. Hasa wakubwa wao. Wanadhani na wanataka sisi tuamini kuwa bila CCM, Tanzania haipo.
   
 3. C

  CLAY KITUMBOY Senior Member

  #3
  Oct 27, 2010
  Joined: Sep 8, 2009
  Messages: 111
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Habari ndio hiyo,its nbetter you have learned it
   
 4. MTWA

  MTWA JF-Expert Member

  #4
  Oct 27, 2010
  Joined: Aug 5, 2009
  Messages: 1,026
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Na zile msg za vitisho bado wanatuma, kumbe kuna mdada mmoja hapa, ametumiwa na bosi wake, kuwa
  "Usiache kupiigakura, Mchague kikwete, usipoteze kura yako kwa waeneza fujo, udini na ukabila" wakati yeye kwenye ile msg ndo kaweka na udini ndani yake.

  Tuwaelimisheje waoga katika nchi hii?
  Maana wao wanakiri kabisa kuwa Kikwete anawakera sana kwa mambo yake!
   
 5. M

  Mikomangwa Senior Member

  #5
  Oct 27, 2010
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 100
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  WANAPENDA TABASAM LA JK SIYO SERA ZA CCM na kuwabadili ipo kazi.
   
 6. giraffe

  giraffe JF-Expert Member

  #6
  Oct 27, 2010
  Joined: Jun 6, 2010
  Messages: 504
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 45
  Ni kweli wanawake wamepumbazwa sana,wamepewa kanga ndani yake kuna buku 2,alafu anaambiwa katafute wenzako kumi,hawa si wengine bali ni wakina mama wa uswazi hapa tegeta,harafu kawaangalie wanavyo lazwa kwenye sakafu pale m'nyamala wakiwa wanajifungua.
   
 7. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #7
  Oct 27, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Do not ignore the power of women ! Hawadanganyiki mwaka huu kura zao kwa Dr Slaa
   
 8. TATE

  TATE Member

  #8
  Oct 27, 2010
  Joined: Aug 11, 2010
  Messages: 89
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  I for one, sidanganyiki.
   
 9. MTWA

  MTWA JF-Expert Member

  #9
  Oct 27, 2010
  Joined: Aug 5, 2009
  Messages: 1,026
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Hawa watu wanasikitisha sana kwa sababu wanadanganyka kwa vitu vidogo, wakati wa kwanza kuteseka kwa uongozi mbaya ndio wao kwanza.
  Maji, shule, hospital, utawakuta wao ndo wengi.. Cha ajabu wanayosema ni tofauti kabisa
   
 10. sblandes

  sblandes JF-Expert Member

  #10
  Oct 27, 2010
  Joined: Apr 25, 2010
  Messages: 2,468
  Likes Received: 790
  Trophy Points: 280
  Wapiga kura waliowengi wanataka umewashawishi kiasi gani sio unajua kiasi gani,hivyo akina mama wakishawishika watampigia kura.
   
 11. Mgeninani

  Mgeninani Senior Member

  #11
  Oct 27, 2010
  Joined: Jan 3, 2010
  Messages: 190
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Unyonge wao ndiyo unasababisha yote haya, wanapewa tuvimikopo vya laki laki huku wakitakiwa kurejesha kila wiki kwa riba iliyo juu,wanaungua na moto kutwa kwa faida ya sh alfu 3, wanatembeza bidhaa za promosheni kutwa kwa ujira wa alfu jero, Je akitokea mtu akawapa chips mayai, valuu ili wamwage radhi vizuri na spika kubwa za mzee yusuf, kanga na buku mbilimbili ndani unategemea nini?
   
 12. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #12
  Oct 27, 2010
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Kwa wale ambao wana wasiwasi kuhusu upigaji kura wa wake zao, siku hiyo ya Jumapili waanzishe ka-zogo kadogo nyumbani ili wasiende vituoni!! Tehe, tehe tehe!!!!! Mikweza kuwazuia nusu ya wanawake kwenda vituoni, nafikiri CCM ni bye bye for real!!!!!!!
   
 13. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #13
  Oct 27, 2010
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Sio kweli wakina mama wengi sana wamemstukia Kiwete kuwa anawadanganya na safari hii watamtosa; wanasema kwani watoto wao watakula hilo tabasamu lake? Karo za shule zinawaumiza na DR. amewaahidi shule bure kwahiyo wamama wengi mpaka vijijini siku hizi hawadanganyiki kwa khanga, watampa Slaa kura zao!!
   
 14. d

  dotto JF-Expert Member

  #14
  Oct 27, 2010
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 1,720
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  mimi mke wangu hapana hayumo katika ujinga huo. Anajua sukari tu imepanda toka tshs.400(2005) hadi Tshs1800(2010). Na hataki ujinga wa kanga za Tshs.500.

  CHAGUA CHADEMA
   
 15. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #15
  Oct 27, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,767
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  hao wakiwezeshwa ndo wanaweza TUWAWEZESHE JAMANi
   
 16. M

  MgonjwaUkimwi JF-Expert Member

  #16
  Oct 27, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 1,288
  Likes Received: 521
  Trophy Points: 280
  Naona lugha za mashabiki wa Chadema JF zinachukuwa sura mpya kadri uchaguzi unavyokaribia, naona wanaanza kukubali uhalisia wa matokeo ya uchaguzi ujao. Kama ni dhahiri wanawake waitaipigia kura CCM, kama ni dhahiri kwamba Chadema haijasimamisha wagombea katika majimbo kadhaa, kama ni dhahiri kwamba baadhi ya wanachama wachedema wanasikitishwa na kampeni za matusi, matumaini ya Chadema kushinda yanashikiriwa na nguzo gani? Nielimisheni.
   
 17. P

  Pagi Ong'wakabu Member

  #17
  Oct 27, 2010
  Joined: Sep 15, 2010
  Messages: 53
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Maisha si mchezo ni vita usiendekeze uzembe wa kumwachia mwanamke afanye jambo utakalolijutia kwa miaka 5, mwelimishe, mshauri ikibidi msaidie kupiga kura. VITENGE/KANGA, TSHIRT, KOFIA, VILEMBA NA MABANGO YASITULETEE ADHABU YA MIAKA 5 KURA YENYE TIJA PIGIA CHADEMA VEMAAAA Pipooos Pawaaaaaa.
   
 18. MTWA

  MTWA JF-Expert Member

  #18
  Oct 27, 2010
  Joined: Aug 5, 2009
  Messages: 1,026
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Du, ndugu mimi sidhani kuwa ni sahihi, kwa sababu hii ni suala la kuangalia haki yako, maendeleo yako. Mbaya zaid ni hao wakina mama wanaoteseka na wao wanasema, sasa kwanini upate shida, au usubiri ushawishiwe ndo uchague haki yako?
  Wao wameshateseka vyakutosha mahospitalini, usafiri masokoni, watoto, bado wanataka kuambiwa nini
   
 19. MTWA

  MTWA JF-Expert Member

  #19
  Oct 27, 2010
  Joined: Aug 5, 2009
  Messages: 1,026
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Bado sana ila kuna mambo ambayo yanatokea pia kwa rafu za hao hao mafisadi.
  Maana wamewahonga na kuwatisha, na bado wataiba
   
 20. MTWA

  MTWA JF-Expert Member

  #20
  Oct 27, 2010
  Joined: Aug 5, 2009
  Messages: 1,026
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Kwa hili Jamani sasa haki sawa iko wapi?
  wanatakiwa kuwa waelewa nini wanahitaji. haya mambo ya sitaki nataka hadi wasomeshwe sana yatatupeleka Jehanum mapemaaaaa
   
Loading...