Wanawake Watanzania waletwa Kenya na kutelekezwa

Using other people's misfortunes to justify your prejudices is so inhuman. Kama wewe umejaliwa uwezo wakutorubuniwa, mshukuru aliyekuwezesha. You have no idea what their lives have been like or why they succumbed to the lying man. And I'm actually proud of the lady for turning down the man's insistence for unprotected sex.

It's disgusting belittling women who have been raped and subjugated to violence. Hebu waza kama ingekuwa ni mwanao wa kike au dada yako au mama yako anadhalilishwa hapa kwasababu ya kubakwa na washenzi wa Al Shabaab.

Tafadhalini sana, nawashauri hata kama ni utani, tuwe na busara wakati mwingine.
 
Pengine ww ndiye hukusikia jinsia yake.
Alobakwa Dar alikua wa kike unabisha nn ww????!!!!
Punguza miraa buddah.
Na bangh za chooni.

Soma mara mia moja, rudia tena na tena, jinsia imewekw siri maana ni aibu ya mwaka
abakwa-jpg.1203228
 
Using other people's misfortunes to justify your prejudices is so inhuman. Kama wewe umejaliwa uwezo wakutorubuniwa, mshukuru aliyekuwezesha. You have no idea what their lives have been like or why they succumbed to the lying man. And I'm actually proud of the lady for turning down the man's insistence for unprotected sex.

It's disgusting belittling women who have been raped and subjugated to violence. Hebu waza kama ingekuwa ni mwanao wa kike au dada yako au mama yako anadhalilishwa hapa kwasababu ya kubakwa na washenzi wa Al Shabaab.

Tafadhalini sana, nawashauri hata kama ni utani, tuwe na busara wakati mwingine.

That's stupidity, should be called out clearly, hata angekua binti wangu kwanza ndio ningekua mkali sana kwake, kutokutumia akili anafuata mwanaume kama kipofu, hivi unajua ndivyo wanawake hujikuta wamebakwa kwa zamu na kundi la wanaume, yaani mwanaume mmoja anahusika kukuhadaa umfuate kichwa kichwa halafu anakuingiza kwenye chumba unakuta wengine humo wamekusubiri.

Mwanamke hadi unavuka mpaka inafaa kwanza uwe umejilinda kwa kuhakikisha huyo mtu anafahamika had na wazazi wako na amefanyiwa uchunguzi na kujulikana nchini kwao ni mtu wa namna gani.
 
Asa unataka kubishana na sisi tulofikiwa na habari kwa uwazi????
Halafu hilo ni gazeti tu mazeh sisi habari had redion tulizipata.
Acha kukaza head.
Soma mara mia moja, rudia tena na tena, jinsia imewekw siri maana ni aibu ya mwaka
abakwa-jpg.1203228
 
Asa unataka kubishana na sisi tulofikiwa na habari kwa uwazi????
Halafu hilo ni gazeti tu mazeh sisi habari had redion tulizipata.
Acha kukaza head.

Hujafikia hadhi ya kubishana na mimi, wewe huwazidi waandishi wa habari walioandika kuhusu tukio, hayo magazeti huandikwa kwa ajili ya watu wenye uwezo wa kuyanunua, sio makajamba wa Tandale.

abakwa-jpg.1203228
 
Bro hahahahhaahhaaha ahsante kwa kunidharau sawa nakaa Tandale .
Ila usitake kubishana na mm mwananchi wa hiyo mahali na ww ulokuja na kuondoka.

Sikudharau ila nakuambia kama ilivyo kwa mujibu wa wataalam wa uandishi wa habari, labda ni masuala nje ya uwezo wako.
 
Mkuu tutabishana bure alobakwa mwanamke mwanajeshi wa kike na sisi tumepata habari kabla ya kuchapishwa siwez kubishana umeshinda.
 
Mumepata habari ukiwa na nani, taarifa zimeandikwa kama zilivyo wacha kuzibadilisha. Huna sifa hizo.
 
Kwanza kabla yakuondoka wachapwe viboko 22 huko
pia wakati wanashuka huku wapokee 22!!
Unadanganywa na Mkenya!!
ujue hao ni mazuzu
Mpaka leo sielewi kwanini wanawake bado wana-play a "victim card"?!
Hasira kabisa
 
Back
Top Bottom