Wanawake wastaarabu bado wapo

Wanawake wastaarabu bado wapo

Kila mtu ana vigezo vyake vyake ktk kutafuta ndoa, kuna ambao tunaamini kusubiri ndoa ni propaganda ya kuficha mabaya yako,

halafu kuruhusu kuchunguzwa na ke haijakaa poa mwisho wa siku angekutawala huko mbeleni,

Mtu anaeweza kukuvumilia madhaifu yako ukamkosea, akasamehe na akaendelea kukupenda na kukuheshimu kwa kiwango kile kile huyo ndo mtu sahihi haya mengine ni maigizo tu
 
Mkuu, haya ni mawazo yako na hayana budi kuheshimiwa.

Nimekuelewa kwa sehemu.

Asante.
 
Hakuna wanawake wastaarabu kuna wanawake washamba ukimchukua kwao mshamba akija mjini akijanjaruka anakuwa mjanja

Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
 
Moja kwa moja kwenye mada.

Amini nawaambia kwamba, wasichana/wanawake wastaarabu bado wapo. Unaweza ukajiuliza kwanini wewe hukutani naye, hukutani naye kwasababu unatumia akili za kibinadamu kumtafuta, ukimshirikisha Mungu kwa imani yako NAKUHAKIKISHIA kwamba atakukutanisha naye.

Mimi nimeshakutana nao 3, na nakiri kwamba nimewapoteza kwa ujinga wangu mwenyewe. Nimeweka nadhiri kwamba this time around sitarudia makosa. Sitawazungumzia wale wawili wa kwanza, nitamzungumzia huyu wa 3.

Anafanya kazi kwenye shirika moja la Kimataifa. Ana Shahada ya Mining Engineering. Ni mrefu wa wastani mwenye rangi ya udhurungi, ana sura na umbo zuri na ni Mcha Mungu.

Haikuwa rahisi kumpata. Nakumbuka day one tumekutana aliniuliza maswali ambayo niliamini kwamba she is indeed very smart upstairs. Aliniuliza, Amicus Curiae, unataka mwanamke wa aina gani? Ili kama hizo sifa hana basi tupotezeane mapema tu. Nikajibu kwa kupuyangapuyanga wee , akapotezea. Maswali yalikuwa mengi hili ni mojawapo tu.

Akanitaka tena nimueleze kuhusu mimi. Nilivomuona anajielewa ikabidi nimuleze ukweli kwamba hapo zamani mimi nilikuwa mzinzi sana, na mlevi pia, lkn kwa sasa nimeamua kubadilika, akafurahi sana kwa kuwa nilikuwa mkweli.

Akaomba nimpe muda anichunguze. Aisee, she went an extra mile, kuna taarifa zangu aliniambia nikashtuka sana amezipataje! Salama yangu ni vile nilimwambia ukweli tangu awali, kwasababu alivyonichunguza aliambiwa yaleyale ya uzinzi na ulevi wangu. Mwisho wa siku akanikubali kwa sharti kwamba hatutafanya zinaa mpaka ndoa, kwa mara ya kwanza maishani NIKAKUBALI kwamba sitamfanya chochote mpk ndoa! Because I saw a WIFE in her. Akasema hataangalia madhaifu yangu ya zamani, yeye na mimi tutaanzia pale ambapo nimebadilika tunaendelea mbele.

Nikasema ngoja nimjaribu kwenye eneo la fedha, nikamuomba awe anatunza hela ya kila siku ya saluni yangu ya kiume. Kwahiyo kinyozi akawa anamtumia pesa yeye badala ya mimi. Aisee ile hela alikuwa haigusi pamoja na kumwambia kwamba akiwa na shida awe anatumia. Hata vocha alikuwa hanunui pamoja na kumshinikiza awe anatumia ile akiba. Ikifika siku ya kulipa kodi ya pango la saluni, anatoa pesa, tunalipa halafu ana-screenshot balance iliyosalia, aisee this girl was fine.

Kuna siku tukitoka anaomba alipe bills. Halafu alikua akinitoa yeye hela ananipa mimi ndiyo nilipe.

Nikamwambia nataka kulima mkonge, aisee alisapoti kuliko kawaida. Nilivyoenda kukagua shamba kwa ajili ya kupeleka trekta nikamtumia picha nikiwa shamba, nakumbuka kuna msg aliniandikia akasema "nimuandalie rainboots" na yeye anataka nimpeleke shamba! Angekuwa slayqueen ingekuwa vita!

Akaniambia yeye anapenda mwanaume ambaye ataanza naye from the scratch. Lkn pia anapenda mwanaume ambaye ni problem(s) solver; yaani mwanaume ambaye anaweza kutatua matatizo, mwanaume anayemcha Mungu na mwanaume atakayempenda kwa matendo siyo maneno.

Kuna wakati nikasema nimpime kwenye material possessions. Nikawa natoka naye napanda Bajaj badala ya kutumia gari, cha kushangaza ni kwamba alikuwa hata haulizi "gari iko wapi leo?". Kuna wadada niliwahi ku-date nao siku asipokuona na gari hata kutoka anaweza asitoke kwa hasira!

This girl ..baada ya kumpeleka kwa Mchungaji na hatimaye kwa wazazi, nikaja kuzingua tena mimi mwenyewe! Nisamehe sana 'Z', najua nimekuumiza lakini nisamehe sana. Nanyenyekea mbele za Mungu ili anisamehe pia. Usinisononekee 'Z', machozi yako yanaweza kuwa laana maishani mwangu. I thank God kwamba sijafanya zinaa na wewe kwahiyo machungu hayawezi kuwa makubwa sana. Nisamehe tena na tena.

Wanaume wenzangu nimewaletea hiki kisa hapa ili tujifunze. Asanteni.
Ujumbe mzuri, kweli wapo wengi tu.
Ila inaonesha ulikua unamnyenyekea/ ulimpa nafasi kubwa mno...
 
Mimi mwenyewe kuna demu aliniambia yy bikra tusifanye mpaka ndoa nikasema fresh, nikakubali ila yeye hela hizi ndogo ndogo ailikuwa ananiomba.

Cha ajabu akarudi kwa ex-wake na ex-wake hakukaa nae sana ,akampiga chini akataka kurudi kwangu.Nikamzingua kwa kumuuliza "bikra unayo......",hakunijibu akawa anachekacheka "yaani ww......",nikampiga chini na kuendelea na maisha yangu.
 
Mrejesho vipi mkuu 🤣🤣🤣🤺
 
Bikra nyoo 🍑🍖🍗 kwioo
 
Back
Top Bottom