Umasikini si lazima uwe wa fedha.
Umasikini si lazima uwe wa fedha.
Kama umasikini wa kukosa mtoto, si ndiyo?
Kuna umasikini wa kukosa mtoto.
Kuna umasikini wa kupata mtoto.
Kuna umasikini wa mawazo unaofanya mtu kuanza kuandama waliokosa au kutotaka watoto. Bila hata ya kuona umasikini wa kupata watoto!
Kuna umasikini wa kuendekeza "Utajiri wa maskini watoto".
Do you. Remember to let others be themselves. As long as they are not in your rails.
But then again, your rails may be all up in their grills, which could get tricky.
Nimeona gangsta rappers kibao showing their human sides on several TV shows, kitu ambacho mtu wa kawaida asingetegemea, and I therefore beg to disagree.
Watu kama T.I, DMX, Jim Jones, The Game tumewaona wakilialia na kuonyesha their softer sides kwenye shows kama "T.I and Tiny: The Family Hustle", "Celebrity Rehab", "Love & Hiphop", "Marrying The Game" bila ya these dudes necessarily losing their gangsta or street credibility.
Gangsta rappers na kulia ina uhusiano gani na mada yako?
Kwa utamaduni wa kiafrika, you need to be gay au mmoja kati ya unfortunates wasiyoweza kuzaa kutokana na mapungufu fulani ya kibaiolojia.
Hmmm...wengine wameshusha sana injini hao.
Nimeona gangsta rappers kibao showing their human sides on several TV shows, kitu ambacho mtu wa kawaida asingetegemea, and I therefore beg to disagree.
Watu kama T.I, DMX, Jim Jones, The Game tumewaona wakilialia na kuonyesha their softer sides kwenye shows kama "T.I and Tiny: The Family Hustle", "Celebrity Rehab", "Love & Hiphop", "Marrying The Game" bila ya these dudes necessarily losing their gangsta or street credibility.
Gangsta rappers na kulia ina uhusiano gani na mada yako?
Mkuu! Hii sloppy bait-and-switch work of yours ain't gonna work with me.
Labda nikuulize, ulikuwa unamaanisha nini kwa kusema "najishushia injini" kwa kuweka topic kama hii hadharani?
Wewe, watoto liability!
Ila kwa hao wadada warembo kwenye blogs, labda wame-freeze embryo sehemu.
We unafahamu embryo ni nini?
Acha kina dada wafaidike na maisha yao bila mizigo na usumbufu hadi wenyewe wakiamua.
Njabu, naona hatukuelewana tu Kiswahili hapo. Back in my day 'kushusha injini' ilimaanisha ni kutoa mimba. Na inasemekana mwanamke akitoa sana (sijui sana ni mara ngapi) basi baadaye anaweza akaja kuwa mgumba.
Sasa wewe uliuliza niaje baadhi ya hao wadada hawana watoto ndiyo nami nika-chime in na kusema 'wengine wameshusha sana injini hao' nikimaanisha wengine wametoa sana mimba hivyo huenda matendo hayo yamewasababishia ugumba.
Sikusema popote kuwa wewe unajishushia injini. Na kama ulichukulia kuwa nakusema wewe basi ni ulichukulia vibaya tu. I hope umenielewa nilichomaanisha.
Ok. Nyani, hapo nimekuelewa. By the way, what's your opinion about all those middle-aged women posing like teens in the many blogs out there you get to see on the daily?
They ain't nothing but attention seeking hos. Some of the things they do are beyond shameful.
It's like they ain't got nothing better to do than get catty with each other on social networking sites.
Check this one out.
"Umaskini wa kupata mtoto" ndiyo umaskini gani huo?
Kama "kupata mtoto" ingekuwa na negative connotation equivalent to "umaskini" sijui hata kama wewe ungezaliwa.
In fact, idadi ya Watu duniani ingekuwa inateremka kila siku, na siyo kwenda juu.
Kuna watu wamezaa na wanajuta kuzaa. Huo ndo umasikini wa kupata mtoto.
They ain't nothing but attention seeking hos. Some of the things they do are beyond shameful.
It's like they ain't got nothing better to do than get catty with each other on social networking sites.
Check this one out.
Mkuu Kiranga, kwa kiasi kikubwa, kwa mila na tamaduni za Jamii za Kitanzania, kuna tofauti kubwa ya Mwanamke kuweza kuzaa mtoto angalau mmoja na Mwanamke kuzaa watoto wawili au zaidi.
Acha uwongo bana. Kama mwanamke wa Kitanzania, you surely don't have that prerogative. That choice is never in your hands, unless, again you're a lesbo.
Tumezoea kuwaona wakijinadi kwa mbwembwe, urembo na madaha kwenye majukwaa mbalimbali aka blogs, lakini ukiwaangalia utaona wengi wamepita umri na ungetegemea wangekuwa angalau na mtoto mmoja. Sitaji majina, lakini ni wazi wanajijua, haswa wale wa DMV area.
Kwa ujumla Wanawake wengi wanaoji-promote kwenye ma-blogs utaona kwa maringo wakibandika picha za kuvutia za nguo wanazovaa siku hadi siku na kujinadi kwa "model shapes" zao na jinsi walivyo "fashion conscious" and all that stuff, lakini utaona hawana watoto.
Najiuliza, Jee labda sababu ni kwamba wamegundua hawawezi kuzaa aka ni wagumba?