Wanawake wasiozaa (wagumba)...

Wanawake wasiozaa (wagumba)...

Prof Griff

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2008
Posts
6,771
Reaction score
5,266
Tumezoea kuwaona wakijinadi kwa mbwembwe, urembo na madaha kwenye majukwaa mbalimbali aka blogs, lakini ukiwaangalia utaona wengi wamepita umri na ungetegemea wangekuwa angalau na mtoto mmoja. Sitaji majina, lakini ni wazi wanajijua, haswa wale wa DMV area.

Kwa ujumla Wanawake wengi wanaoji-promote kwenye ma-blogs utaona kwa maringo wakibandika picha za kuvutia za nguo wanazovaa siku hadi siku na kujinadi kwa "model shapes" zao na jinsi walivyo "fashion conscious" and all that stuff, lakini utaona hawana watoto.

Najiuliza, Jee labda sababu ni kwamba wamegundua hawawezi kuzaa aka ni wagumba?
 
hii topic if full of nosenses!
 
Ni kweli kabisa. Kwa majukumu aliyokuwanayo mama wa kiAfrika, hawezi kupata muda wa kushinda kwenye hizo blogs.

:Yay: Yay: Yay:

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
vipi kuhusu matamshi ya raisi juu ya Sensa na ongezeko kubwa la watu kufikia 49.9milioni (2012) .utafiti wako ni wa aina gani.
 
Tumezoea kuwaona wakijinadi kwa mbwembwe, urembo na madaha kwenye majukwaa mbalimbali aka blogs, lakini ukiwaangalia utaona wengi wamepita umri na ungetegemea wangekuwa angalau na mtoto mmoja. Sitaji majina, lakini ni wazi wanajijua, haswa wale wa DMV area.

Kwa ujumla Wanawake wengi wanaoji-promote kwenye ma-blogs utaona kwa maringo wakibandika picha za kuvutia za nguo wanazovaa siku hadi siku na kujinadi kwa "model shapes" zao na jinsi walivyo "fashion conscious" and all that stuff, lakini utaona hawana watoto.

Najiuliza, Jee labda sababu ni kwamba wamegundua hawawezi kuzaa aka ni wagumba?

Wakati Wanasayansi wanapromote tekinolojia ili kujikwamua na ugumu wa maisha majuha yako bize kuulizia dunia itaongezekaje bila kujua namna ya kuishi. Kila mtu anahitaji kuwa na familia mkuu bali angalia kwanza utaileaje. yaani bado wa zamani kihivyo
 
Sijaelewa ulikuwa na maana gani, ila cha msingi cha kufahamu ni kuwa kuzaa ni majaaliwa ya Mwenyezi Mungu na ndiyo maana wapo waliodiriki hata kuiba watoto mahospitalini. Pia wapo ambao wapo kwenye ndoa mpaka leo wanahangaika mahospitalini na kwenye nyumba za ibada kumuomba Mungu awape neema hiyo.

Nafikiri ni vyema kuwaombea ili nao siku moja waje wabahatike kupata watoto ili watimize ndoto za kuwa na familia kama wengine kwa wale wote wenye uhitaji na watoto.

Poleni sana wadada wote (na wababa pia) wenye tatizo kama hili.
 
Kwa utamaduni wa kiafrika, you need to be gay au mmoja kati ya unfortunates wasiyoweza kuzaa kutokana na mapungufu fulani ya kibaiolojia.

Kwa hiyo utamaduni wa Kiafrica unaruhusu watu kuwa gay.
Anyway kuzaa au kuwa na familia ni chaguo la mtu.
 
Duh! Aisee usipozaa kwa schedule ya mwingine wataanza kukusema we mgumba. Why is another woman's uterus any of our business? Labda hajaamua kuzaa. Si kila mwafrika anapenda kuzaazaa bila mpango. Let them enjoy their fashion blogs and they will have kids when they're ready. Or not. Uamuzi ni wao.
 
Kwa hiyo utamaduni wa Kiafrica unaruhusu watu kuwa gay.
Anyway kuzaa au kuwa na familia ni chaguo la mtu.

Acha uwongo bana. Kama mwanamke wa Kitanzania, you surely don't have that prerogative. That choice is never in your hands, unless, again you're a lesbo.
 
Wakati Wanasayansi wanapromote tekinolojia ili kujikwamua na ugumu wa maisha majuha yako bize kuulizia dunia itaongezekaje bila kujua namna ya kuishi. Kila mtu anahitaji kuwa na familia mkuu bali angalia kwanza utaileaje. yaani bado wa zamani kihivyo

Unachanganya issues.

Halafu wewe ndiyo juha halisi.

Wanasayansi huwa hawa "promote teknolojia", na mbali zaidi, motivation(s) na malengo ya Wanasayansi kufanya yale wanayofanya kama Wanasayansi siyo kwa sababu ya "kujikwamua na ugumu wa maisha".
 
vipi kuhusu matamshi ya raisi juu ya Sensa na ongezeko kubwa la watu kufikia 49.9milioni (2012) .utafiti wako ni wa aina gani.

mbona ye anao 11? Haoni kuwa ameongeza idadi kubwa sana?
 
Hmmm...wengine wameshusha sana injini hao.

Nimeona gangsta rappers kibao showing their human sides on several TV shows, kitu ambacho mtu wa kawaida asingetegemea, and I therefore beg to disagree.

Watu kama T.I, DMX, Jim Jones, The Game tumewaona wakilialia na kuonyesha their softer sides kwenye shows kama "T.I and Tiny: The Family Hustle", "Celebrity Rehab", "Love & Hiphop", "Marrying The Game" bila ya these dudes necessarily losing their gangsta or street credibility.
 
Sijui hasa cha kujadiliwa hapa ni wao kuweka picha tofauti za nguo zao au wao kutokuzaa.
'
Mwanamke kama hajazaa kwa tamaduni zetu ki ukweli jamii itamhukumu kuwa na matatizo japokua inaweza kuwa kinyume chake
'
Hata mwanaume kuna umri ukifikirha kama hujajihusisha na masuala ya wanawake watu wanaanza kutilia mashaka uanaume wako.
'
Lakini inakuaje kama mtu ameamua kutokuzaa kama vile ambao wameamua kutokuolewa?Kwanini watu hawaamini kuwa mwanamke anaweza kuwa hana tatizo na akamua kutokuzaa?
'
Binafsi kuna wakati nilikaa muda mrefu bila kuwa na mwanamke kimahusiano,rafiki zangu wakaniambia angalia watu wanaweza kudhani ni mgonjwa.
'
Nadhani umefika wakati tumuache kila binadamu aishi atakavyo!
 
Back
Top Bottom