Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,338
- 93,995
Nakubaliana nawewe 100%
Wew jamaa kumbe unaamini vitabu? Nilijuwa nimwenzetu BROTHER BLOOD. Kulingana na avatar yakoOgopa kuwa na rafiki mwanamke asiyeijua Biblia wala Quran. Ogopa sana mwanamke asiyejua mlango wa msikiti au kanisani!
Hao wana roho ngumu sana na hawaeleweki! Hawamwogopi mwanaume na hawana adabu.
Ni mabandidu sana!
Ndio mana viongozi wetu wa dini wanaishi vizur kuliko viongozi wenuKwa waislam siyo lazima usali msikitini. Unasalia nyumbani. Kwa wakristo ni lazima wende kanisani ili ukachomolewe hela.
Kabisaaa wanajifichiaga kwenye kusali,wana matendo machafu kuliko sisi vuguvuguOgopa sana mwanamke anayejifanya ameokoka analijua kanisa kuliko kitu chochote wana roho ngumu paka akasome[emoji57] [emoji57]
Na roho chafuKabisaaa wanajifichiaga kwenye kusali,wana matendo machafu kuliko sisi vuguvugu