Wanawake/wasichana wote ni wazuri jamani....

Wanawake/wasichana wote ni wazuri jamani....

Mu7

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2013
Posts
1,635
Reaction score
1,951
Mwenzenu nimefanya tafakuri ya kina na kwa muda mrefu na hatimaye nimefikia conclusion kwamba wanawake/wasichana wote ni wazuri. Hebu jaribu na wewe kuwaza: Ukutane na mwanamke/msichana mwenye umbo no. 8, miguu ya bia, mwanya wa haja, dimpoz kwa sana, chuchu saa 6, umbo la wastani, ngozi nyororo, macho mlegezo yanayoita, sauti ya kike hasa lakini kumbe alizaliwa BILA K..., tuwe wakweli kwa nafsi zetu... ni nani atapenda kumtokea na kumkomalia kwa kumuimbisha ili awe mpenzi wake au mke? Mie nadeclare kabisa - simtaki pamoja na misifa yote hiyo.
 
Hivyo vitu usiwe unatumia peke yako, uwe unazungurusha round.
 
Hata awe mbaya vipi au mzuri vipi, Lakini katikati ya mapaja ni mlaini.
 
Kiroba orijino ile ya arusha miksia banana ina stimu kaliiiii chalii angu! Na gomba kwa kando...
 
Dah. Hizi coment zimenivunja mbavu kwelikweli aisee. Mleta mada we ni hatari
 
Back
Top Bottom