Loyal_Merchant JF-Expert Member Feb 25, 2011 623 267 Aug 27, 2011 #1 Kwa nini ni rahisi sana kwa mschana/mwanamke kubadili imani yake (dini, dhehebu) ili kuwa na mpenzi(mwanaume) fulani..?
Kwa nini ni rahisi sana kwa mschana/mwanamke kubadili imani yake (dini, dhehebu) ili kuwa na mpenzi(mwanaume) fulani..?
Husninyo JF-Expert Member Oct 24, 2010 23,723 9,193 Aug 27, 2011 #2 Kaka' said: Kwa nini ni rahisi sana kwa mschana/mwanamke kubadili imani yake (dini, dhehebu) ili kuwa na mpenzi(mwanaume) fulani..? Click to expand...

kwasababu sio ngumu.
Kaka' said: Kwa nini ni rahisi sana kwa mschana/mwanamke kubadili imani yake (dini, dhehebu) ili kuwa na mpenzi(mwanaume) fulani..? Click to expand...

kwasababu sio ngumu.
B Bajabiri JF-Expert Member Jan 1, 2011 9,730 1,201 Aug 27, 2011 #3 Husninyo said:

kwasababu sio ngumu. Click to expand...

aaah,hahaha na sababu uliyoitoa kweli sio ngumu
Husninyo said:

kwasababu sio ngumu. Click to expand...

aaah,hahaha na sababu uliyoitoa kweli sio ngumu
bht JF-Expert Member May 14, 2009 10,336 1,862 Aug 27, 2011 #4 it all goes back to history...(mfumo dume) and this is just one of many reasons...
bombu JF-Expert Member Jun 8, 2011 1,127 542 Aug 27, 2011 #6 wewe hujasikia wanaume wengi wamewaacha wapenzi/chmba wao kwa sababu wamekataa kubadili dini? Sasa hapo unataka kusema kwamba waanawake ni rahisi kubadili? siku nyingine utauliza " hivi ni kwa nini mwanamke akiolewa anahamia kwa mume?" lol
wewe hujasikia wanaume wengi wamewaacha wapenzi/chmba wao kwa sababu wamekataa kubadili dini? Sasa hapo unataka kusema kwamba waanawake ni rahisi kubadili? siku nyingine utauliza " hivi ni kwa nini mwanamke akiolewa anahamia kwa mume?" lol
mikatabafeki JF-Expert Member Dec 29, 2010 12,772 4,642 Aug 27, 2011 #7 wacha wabadili tu ila sio ssi tubadili
A Ave Ave Maria JF-Expert Member Apr 22, 2011 10,707 5,674 Aug 27, 2011 #9 Ni upendo tu na wengine ni kwa sababu ya zile imani za kurithi!
Husninyo JF-Expert Member Oct 24, 2010 23,723 9,193 Aug 27, 2011 #10 mikatabafeki said: wacha wabadili tu ila sio ssi tubadili Click to expand...

kwanini nyie msibadili?
mikatabafeki said: wacha wabadili tu ila sio ssi tubadili Click to expand...

kwanini nyie msibadili?
A Ave Ave Maria JF-Expert Member Apr 22, 2011 10,707 5,674 Aug 27, 2011 #11 Husninyo said: kwasababu sio ngumu. Click to expand... bado nasubiri PM Husninyo!
Husninyo JF-Expert Member Oct 24, 2010 23,723 9,193 Aug 27, 2011 #12 Kipipi said: bado nasubiri PM Husninyo! Click to expand...

nimekutumia 3, ngoja nikuongeze nyingine.
Kipipi said: bado nasubiri PM Husninyo! Click to expand...

nimekutumia 3, ngoja nikuongeze nyingine.
Eiyer JF-Expert Member Apr 17, 2011 28,258 20,712 Aug 27, 2011 #13 Safety last said: Kutoifahamu kweli! Click to expand...

Umemaliza kila kitu mkuu!!