Wanawake/wasichana na imani katika mapenzi.

Loyal_Merchant

JF-Expert Member
Feb 25, 2011
623
267
Kwa nini ni rahisi sana kwa mschana/mwanamke kubadili imani yake (dini, dhehebu) ili kuwa na mpenzi(mwanaume) fulani..?
 
it all goes back to history...(mfumo dume)

and this is just one of many reasons...
 
wewe hujasikia wanaume wengi wamewaacha wapenzi/chmba wao kwa sababu wamekataa kubadili dini? Sasa hapo unataka kusema kwamba waanawake ni rahisi kubadili? siku nyingine utauliza " hivi ni kwa nini mwanamke akiolewa anahamia kwa mume?" lol
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom