Wanawake, wasaidieni Wanaume wasife mapema

Wanawake, wasaidieni Wanaume wasife mapema

Kufanya sex na wanawake wengi tofautitofaut ndo chanzo kikubwa, mkizan mnawakomoa wanawake kumbe mnajichimbia kabur, achen mtangulie, hakuna namna.

Nani amekudanganya kua kusex sana kunapunguza siku za kuishi?

Kitaalam wanasema mwanaume ambae ana nguvu za kiume na anaeweza kufanya ngono mara nyingi ana uwezekano mkubwa wa kufikisha miaka 80 kuliko ambae hafanyi kila mara.

Ngono ina faida kubwa kwa mwanaume kuliko kutokufanya.

Sio kweli kua ngono inapunguza siku za kuishi.
 
Kwahiyo unatamani na wewe ungekuwa unapumuliwa kisogoni
Soma mada vizuri wewe juha.
Labda kama ww ndo upumuliwe.

Humu huwa tunajibu kulingana na mada, ELEWA mada acha ujinga
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom