Wanawake wanene kutoolewa!

Wanawake wanene kutoolewa!

Haina mashiko wanene saivi ndio Habari ya mjini huoni Wembamb watafuta dawa za kutunisha wowo
 
mnaweza kubisha sana lakin kilichosemwa kina ukweli wa zaid ya 60%, majority ya wanawake walio wanene kwenye ndoa walinenepea huko na sio kwamba waliolewa wakiwa vibonge....(nani anataka kuoa mwanamke aliyetepeta kabla hata ya kuzaa; as akizaa atakua ni zaidi ya funza kimophology)

NB: unaoona wanaolewa vibonge bac hata wanaowaoa utawaona wanaendana nao (ugly or fat as ass guys)

Nilitaka niseme hivi hivi,wengi wanaolewa wakiwa na miili midogo au ya wastani wananenepa ndoani. Ila mkuu umetumia lugha kali sana.
 
mnaweza kubisha sana lakin kilichosemwa kina ukweli wa zaid ya 60%, majority ya wanawake walio wanene kwenye ndoa walinenepea huko na sio kwamba waliolewa wakiwa vibonge....(nani anataka kuoa mwanamke aliyetepeta kabla hata ya kuzaa; as akizaa atakua ni zaidi ya funza kimophology)

NB: unaoona wanaolewa vibonge bac hata wanaowaoa utawaona wanaendana nao (ugly or fat as ass guys)

Mkuu umenena,wengi hunenepa baada ya kuolewa.Lazma tuwe wakweli kwamba wanawake vibonge ni changamoto hatakama kuna wanawake ambao ni wanene halafu wana shepu,hili ni kundi tofauti.Kuna shepu ambazo kila mwanaume anazitamani!Mfano namba 8.
 
Back
Top Bottom