Wanawake wanazeeka haraka etii

Mimi mbona nmeoa classmate wangu wa mpk standard 4...na bdo kaschana tuuu kazuri hako...nadhan ni kwa7bu hakajatumika snaa na wanaume wengi
Inategemeana na mazingira mliyokuwa lakini kama mliendelea na Elimu ningumu kufikia hatua hiyo,na inatokea mara chache
 
Sio wote! Mbona mm kuna wanaume wadogo kwangu ila wamezeeka utafikiri ni wakubwa kwangu.

Anyway kuna sababu kadhaa zinazopelekea watu kujizeekea faster.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…