Wanawake wanazeeka haraka etii

Kwikwikwikwi macho yako yamejieleza ulivyo fataki tena yanasema ni fataki wa vitoto vya darasa la nne..... bro jela inakuita walai tena, lol.

(japo picha si yako)
Dah hakuna wanawake naogopa kama hivyo vitoto, bora niwe na mtu anayenizidi umri kuliko mtoto.

Picha ni yangu na hapo nilikuwa 35 yrs.
 
Hiyo ni kweli bila kubisha
Ila sijawahi kujua sababu ya msingi ya sisi kuwa hivyo
ILA INATEGEMEA ร€ISEE...TENA ZAMA HIZI NI TOO MUCH...MI NADHANI SABABU KUBWA NI WADADA WA SIKU HIZI UNAKUTA MPAKA ANAFIKISHA MIAKA 25 AMESHAPITIWA NA WANAUME WASIOPUNGUA 10...KWANINI USIZEEKE AU USICHAKAE..
 
Ww umekimbia uzi wangu
 
Kwa hiyo hormone ya oestrogen ndio inazeesha
 
Wanasema binti anakuwa kwenye peak ya uzuri akiwa na 22.......Kwahiyo watu wanamfyonza mpaka akifikisha 35 biashara imekwisha lakini mwanamme anaenda hadi 50 bado kijana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ