Wakuu,
Mavazi ya half naked kwa kina dada
Picha za uchi za kina dada..
Ndiyo chanzo kabisa cha kuwafanya wanaume washindwe kazi kitandani kwa kukosa mzukaa.
Maumbile ya mwanamke yanatakiwa yasitiriwe ili kwamba, pale mwanamume anapoyaona chumba yampe stimu maana atakua hajazoea kuyaona ona.
Lakini wadada wasiku hizi wanavyovaa, ni chanzo kikubwa cha wanaume kukosa hamu ya mapenzi. Maumbile ya wanawake yamekua yamezoeleka machoni pa mwanamume.
Imefika pahala mwanamume anaweza kuiona hata picture ya mwanamke aliye uchi na wala asisimamishe. Hii inatokana na kuzoea kuyaona maumbile hayo mara kwa mara.
Mtu anaweza kujihisi hana nguvu za kiume kumbe ni akili imeshayazoea maumbile ya mwanamke na kuyaona ya kawaida kwaiyo kutopandisha mzuka hata mkiwa chumbani.
Ktk kufanya tendo la ndoa kwa ufanisi, akili na saikolojia yako ni jambo la msingi sana.
Mwanamume Jitahidi kuepuka picha za utupu za kina dada pamoja na video za ngono maana zina mchango mkubwa sana ktk kukupunguzia hamu ya tendo la ndoa.