Wanawake wanatofautiana

Wanawake wanatofautiana

Kifaa hakina liquid sana pia kinavuta. Sauti nyororo, maneno matamu. Tabasamu la huba. Mwendo wa maringo. Macho makubwa kidogo.
Anajua kutumia manukato.
Sio mfupi sana na sio mrefu kupita futi sita.
Mwenye kujua kusafisha kikombe chake.

Mwanaume una maneno weye cjapata kuona jf nzima .......
 
Kwetu sisi tuliojaribu radha tofauti. Wanawake wanatofautiana bana. Anaweza akawa mwanamke mzuri kabisa lakini sio mtamu.

Kuna aina fulani ya wanawake yaani ukimuona tu utagundua huyu mtamu.

Kuna wanawake hawana radha kabisa yaani wanaboa. Naukute huyo mwanamke huwa anakuwa kama gogo dah utakoma.

Ila madiko diko huwa yana saidia sana.

Unamatatizo, waone wataalamu!!
 
palipo na upendo na penzi la kweli ...... ndipo utamu hupatikana.... no way out.... au haujui kipendacho roho hula nyama mbichi.....
 
Hata kiliwacho kinajua ladha ya mlaji ukatae ukubali kuna mwanaume baridi hana test alf unakuta mzuri ila hana utamu

Ok. Mimi nikiwa nawala huwa wananisifia sana.
 
Unawaza chini tu ndo akiliyo ilipoishia,jifunze kutofautisha 'Radha' na ladha
 
Back
Top Bottom