Wanawake wanataka wenye...

Da umeongea ukweli mtupu. Wadada wanapenda kudanganywa.
 
Elimu na Umbo ni man made tu hivyo dadamchangamfu lazima aelewe kwamba kuwa na elimu ndio utakuwa na maarifa ya kutafuta fedha, kuna watu wanaelimu kubwa wao wanachojua ni kutafuta ajira zenye malipo makubwa bila kufikiri kwamba nitatumiaje elimu yangu kuweza kuongeza kipato nachopata kwenye ajira yangu. Kazi mtu anaweza kuikosa na mwili unaweza ukashuka kiwango kama betina. Kinachotakiwa hapa ni elimu ndio lakini tuende zaidi na kuwa na mkakati mrefu wa maisha
 
Sijaona kama umeonesha mawe hapo,kulikoni?

Ahaa...nilipitiwa kidogo, mawe muhimu ya kupalilia penzi. Wapenzi shti muende bichi, mlimani city, Quality centa, pale nanihiu kukuza na kuimarisha penzi. Sio kila siku home tu kula ugali na dagaa, hata kushangaa tu shida. akhuuu pesa yahitajika bwana.
 
like x52 mamie. mawe ndo mpango mzima co ntake kwenda kuteketeza sh.50000 salon aanze kulalamika. hapo ni nywele tu. bdo pedicure na makorombwezo yote. . .
 
like x52 mamie. mawe ndo mpango mzima co ntake kwenda kuteketeza sh.50000 salon aanze kulalamika. hapo ni nywele tu. bdo pedicure na makorombwezo yote. . .

Mtaani kwetu kusuka buku 5, mara moja kwa mwezi. Pedi, vocha, vichipsi... kama una uwezo wa kuprovide buku 15 kwa mwezi kwa mdada... unapewa hadi 0713....
 
Mie niliyajua hayo, nikatafuta darasa la saba mwenzangu tukaoana........................LOL
 
Kama unadhani nimekosea,hebu soma post za wanawake ndo utajua nini nilimaanisha!
 
Wanawake tunapenda vitu vingi, wanaume wanapenda vitu vingi ila upendo hushinda vyote. Hapo sasa ndo true love inapoapply.

This kind of ladies does not exist nowdays!
 
Hivi umewahi kujiuliza babu yako na bibi yako waliimarishaje penzi mpaka leo wapo pamoja?
 
Mtaani kwetu kusuka buku 5, mara moja kwa mwezi. Pedi, vocha, vichipsi... kama una uwezo wa kuprovide buku 15 kwa mwezi kwa mdada... unapewa hadi 0713....

Umenena mkuu,kumbe mpaka 0713 unapata!!. . . .Afanaaaleki!!. . . . .
 
Hivi umewahi kujiuliza babu yako na bibi yako waliimarishaje penzi mpaka leo wapo pamoja?

Unafikiri kulikuwa na upendo pale? we mtu kaletewa tu mke/mume bila kujuana wakakubali. Hawa mmoja mke alikuwa anavumilia tu hata akitendwa vipi? nakumbuka mke akipata kipigo au akirudi kwao kwa namna yoyote wazazi au ndugu wa mke walimrudisha kwa mumewe tena si kwa majadiliano ni amri sharti arudi. Ni uvumilivu tu wa aibu au mila ziliwafanya wanawake wabakie. Tumeshuhudia mitoto ya nje mingi tu, Kukaa kwenye ndoa kwa muda mrefu si kwamba kuna upendo na kuvunjika kwa ndoa si kwamba wanandoa hawakupendana, labda kuna kitu kimekosekana hapa kwa kizazi hiki.
 
like x52 mamie. mawe ndo mpango mzima co ntake kwenda kuteketeza sh.50000 salon aanze kulalamika. hapo ni nywele tu. bdo pedicure na makorombwezo yote. . .

Wanajisahau kuwa huwa wanawapendaga waliojiremba au waliopendeza hafu kuwapendezesha wapenzi wao wanang"aka sasa sijui tutapendezaje kama wasipotuwezesha, lol. Eti true love......true love bila kupendeza. bila mashamushamu aka.
 
Hivi umewahi kujiuliza babu yako na bibi yako waliimarishaje penzi mpaka leo wapo pamoja?

nafikiri utofautishe enzi za mababu na mabibi na enzi zetu.hii ni karne ya 21 co karne ya kumi na. . . hata bible iko waz nyakat za mwisho watu watapenda pesa, na bible haisemi uongo hebu wacha tutimize maandiko kwan huwez pingana na bible. . . pesa ni sabuni ya roho. chezeya pesa wewe pesa ndo mambo yote. unaona bila pesa unavohangaika lait km ungelikuwa nazo wala huu uzi ucngekuwepo
 
Mie mtu wa kujishughulisha sana kimaisha, umri wangu ni kama miaka 33 hivi. Nina MSc na kipato(mshahara) changu kwa mwezi siyo kibaya sana (approx 4,000.00USD). Bahati mbaya au nzuri nimeisha funga ndoa (ya kiserikaili)na kuacha takribani wanawake wanne hivi, kwa vipindi vya miaka minne. Wanawake wawiliwakiwa ktk level ya BSc, mmoja form six na mwingine ni STD 7. Wote niliwapenda bila kufuata vigezo vya elimu au vipato vyao. Tatizo la kuamua kuachana ni kama hilihili ulaolitaja hapa sister... Wanalalamika eti nachelewa kurudi home. Kwa kuwa kitendo cha kurudi mapema nyumbani kinaniathiri pato langu, ninaamua kumwacha huru kila anayelalamikia

Mnisamehe wadada. Msinichukulie hapa kama mtu wa kujikweza, No! It,s all about sharing experince.

Wanajisahau kuwa huwa wanawapendaga waliojiremba au waliopendeza hafu kuwapendezesha wapenzi wao wanang"aka sasa sijui tutapendezaje kama wasipotuwezesha, lol. Eti true love......true love bila kupendeza. bila mashamushamu aka.

aalaa,et wanapenda waone umependeza ndo waanze kukuitaita. ukiwa rough hupat hata salamu.wanasahau kuwa kuna kugharamika et.! pendezesha kwanza kisha tumia kwa raha zakoa lol. . .
 
aalaa,et wanapenda waone umependeza ndo waanze kukuitaita. ukiwa rough hupat hata salamu.wanasahau kuwa kuna kugharamika et.! pendezesha kwanza kisha tumia kwa raha zakoa lol. . .

Wakiona vyaelea wajue vimeundwa........waendelee kututunza tu. Kama hawana pesa na nanhii zao walale mbele.
 
This kind of ladies does not exist nowdays!

Kwani ni wanaume wangapi wangefurahia kuoa wake wanaowazidi elimu au kipato? Kama wapo huwa wanahitaji penzi la muda mfupi tu sio ndoa. Kuna wanaume wengi tu anaweza akawa amevutiwa na wewe ila ukisema tu elimu yako anaanza kukuita dada. Wengine hajaribu hata classmates wenzie. Mi naona pande zote hii inahusu na huvunjwa tu pale penzi la kweli linapoonekana otherwise kuna wanaume na wanawake wengi wameoona kwa hizo sifa tu na kuwaacha wale waliowapenda ukweli.
 
Aahaaa double R umenichekesha sana hapo kwa red
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…