Eiyer: umekosea sana mapenzi hayana umri,elimu.sura ni sawa na usiku wa giza umeshindwa mwenyewe, mapenzi ni kuridhika kimwili kiakili kwa ujumla satisfaction.
Ikiwa unaridhika na mwenzi anaridhika tosha kwa maana nyingine umeshindwa kumfikisha(peak) mpenzi wako ushauri wangu jitahidi kumfikisha mwenzi wako kimapenzi sehemu yake uone matokeo yake,hakuna cha elimu,uchafu,sura wala fedha inayoweza kumzuia asiwe karibu na wewe.kitu maisha mengine matokeo.
Kuridhika ni kitu kidogo sana lakini ni nguzo kubwa katika mapenzi,tatizo vijana wa leo puling power hakuna,ndiyo maana wazee vijana wanashinda gemu kila wanapoingilia kati iwe ni kwa mke wa mtu,mchumba wa mtu au vibinti vidogo visivyojua mapenzi hadi vianachanganyikiwa.someni vitabu,fanya mazoezi kabla relax chunga maneno yako na maana yachambue kabla haujamueleza mwenzi wako jaribu kuwa na maneno yenye mvuto na matumaini utaoa hata malkia ukitaka.