hahahahaha nimecheka sana huyo atakuwa ana lake mwenzangu mie nikipata hayo ukiongeza na kujaliwa basi hapo nakuwa kama zuzu vileDinnah;Kubembelezwa tu na kupendwa upendo wa hali ya juu, tukikosa hayo ndio kama haya ya kukana mpaka watoto
Unaweza bembelezwa ,mpaka ukabebwa mgongoni utakuja lalamika tu kuwa unapenda ukalishwe chini...... Ni tabia tu ya mtu ambaye haliziki na alichonacho. Ni kutokuwa na hofu ya Mungu
Shetani ndugu yangu yupo na anatoa makucha yake sana tu siku hiziKaka huyo aliyekanwa atulize mpira, akae na watoto wake huyo changudoa aende anakotaka. Ila tu kaka huyo mwambie afunge siku tatu kavu hali hanywi kitu, ikibana sana achemshe maji ya moto glass moja anywe kila anapojisikia tofati. Jamani mwacheni Mungu aitwe Mungu, ukiomba kwa imani mambo yanatendeka. Katika siku 3 za maombi amini nakwambia atajuta kufanya hilo alofanya.
Hivi na nyie wanaume vipofu, mwanamke kama huyo unafikiri ni mzuri kwako? atakukana vile vile alivyofanya kwa mwanaume mwenzio. Muwe na macho ya Imani jamani.
Kesheni mkiomba.
Kila mmoja anataka kidude cha mwenzake
tafsida uliyotumia nimeipenda.....kuna wengine kidude wanapeana lakini bado matatizo tu....:rant: