fimbombaya
Member
- Apr 11, 2011
- 47
- 12
kwakeli nashindwa kujua kuwa ni nini hasa ambacho wanawake wanataka katika maisha hasa walio katika ndoa! nimelazimika kuongea hivi baada ya kugundua uchafu unaofanywa na rafiki yangu wa kiume kumchukua mke wa jamaa yangu! na kwakuwa mi wale wote ninawafahamu vizuri niliamua kuongea na rafiki yangu kumwuliza kulikoni atembee na mke wa mtu? alichonijibu ni kwanza alinishangaa na kuniambia kuwa yule hakuwa mke wa mtu!na nilipomweleza zaidi kuwa ni mke wa mtu na anawatoto 3 kwa mumewe! bado jamaa aliniambia ajuavyo yeye ni kwamba mwanamke huyo si mke wa mtu na pale anapoishi ni kwa kakake na wale ni watoto wa dadake! na kwa sasa mwanamke ni mjamzito na bado wanamahusiano. why?
dunia imevaa bukta jamani,ndo taabu ya kuolewa huku ya dunia hujayamaliza mama akana watoto wake wa kuwazaa hii kali kuliko!
kwani dunia ni nini jamani kama si sisi wanaadam!Mwaionea bure dunia wakati vicheche ni sisi wenyewe binadamu . . .
kwani dunia ni nini jamani kama si sisi wanaadam!
tukiacha gamba mi nnachojua dunia ni watu!kwenye maandiko tunasoma Mungu alianza kuumba dunia kabla ya kuumba Adam na Hawa/Eva
Kwahiyo dunia ni tofauti na mwanadamu
I want and need you.duh,kweli sijui wanawake wanataka nini.......hivi wanaume wao wanataka nini??:nerd:
I want and need you.
kwakeli nashindwa kujua kuwa ni nini hasa ambacho wanawake wanataka katika maisha hasa walio katika ndoa! nimelazimika kuongea hivi baada ya kugundua uchafu unaofanywa na rafiki yangu wa kiume kumchukua mke wa jamaa yangu! na kwakuwa mi wale wote ninawafahamu vizuri niliamua kuongea na rafiki yangu kumwuliza kulikoni atembee na mke wa mtu? alichonijibu ni kwanza alinishangaa na kuniambia kuwa yule hakuwa mke wa mtu!na nilipomweleza zaidi kuwa ni mke wa mtu na anawatoto 3 kwa mumewe! bado jamaa aliniambia ajuavyo yeye ni kwamba mwanamke huyo si mke wa mtu na pale anapoishi ni kwa kakake na wale ni watoto wa dadake! na kwa sasa mwanamke ni mjamzito na bado wanamahusiano. why?
duh,kweli sijui wanawake wanataka nini.......hivi wanaume wao wanataka nini??:nerd:
Kila mmoja anataka kidude cha mwenzake
Tusamehe dhambi zetu kama tunavyowasamehe na sisi waliotukosea usitutie katika vishawishi lakini utuokoe maovuni.Amina