😀😀😀......hayo uliyoainisha hapo juu ni sahihi kabisa wanawake ndo mahitaji yao makuu.......shida ni sisi masikini tunajifanyaga tunajua kutekeleza vizuri hayo matatu ya chini, kumbe hatuna uwezo wa kutekeleza la kwanza.......so tutafute hela coz la kwanza likitekelezwa haya mengine yanavumilikaga tu......njaa na mapenzi haviendi pamoja hata romance yako mwanaume inakaa kinjaanjaa....... ukitaka french kiss unakuta wife kakung'ata kumbe alijua anakula chips, au unamsikia analia unajua ni mahaba, unamuanhalia vizuri unaona machozi unamuuliza nini tatizo anasema njaa.....
We! Unataka unifanye Nini mwenzio....eti National Anthem ? DaaahHata kama unafiki unazipokea, maneno huuumba.. kwani mtu akikuambia una kei tamu mnato mnato inavuta.. unajisikiaje hapo 😃😃😃 unasikia niingize yote au iwe nusu kwa juu.. unaambia una mwili mzuri anakubana ile kwa kukumbatia kwa nguvi huna ana ku kukisi alafu anakusifia lips.. au anakutazama machoni huku anakuambia unajisikiaje.. 😅😅😅
Asifie hata iyo pua aliyoipenda kusifiwa kunaleta rahasana Yan unajihis Beyonce kumbe Asha ngedere 😂Huenda kweli ndo nilivyo....utamzuiaje yeye kuona uhalisia?
Mhhh😆😍Unajisikiaje pini ipo ndani alafu unaambiwa kwa sauti kama simba junior.. " una ...tamu " , unajisikiaje - rahaa,- utanipa lini tena- unajisikiaje-nimalize " 🤣🤣🤣
😂😂😂Huo unafki sitaki mieAsifie hata iyo pua aliyoipenda kusifiwa kunaleta rahasana Yan unajihis Beyonce kumbe Asha ngedere 😂
😅😅😅 ile anagusisha midono kwenye midomo yako huku anakuzunguzisha, hapo bebi unajisikiaje... unasikia nakupenda mpenzi 😅😅😅 anakuuliza tubadili au hii una enjoy.. ujue ni sex ni communication kama hakuna communication ngumu kutoboa.. goja nilale zangu na haka kabaridiWe! Unataka unifanye Nini mwenzio....eti National Anthem ? Daaah
Huo unafki unaleta imesheno 😀😀😀flan hivi😂😂😂Huo unafki sitaki mie
Sijawahi kabisa 🙄Huo unafki unaleta imesheno 😀😀😀flan hivi
Inamaana humsifiagi baba watoto na wew au unatuchota tu hapa dada
🙌😅😅😅 ile anagusisha midono kwenye midomo yako huku anakuzunguzisha, hapo bebi unajisikiaje... unasikia nakupenda mpenzi 😅😅😅 anakuuliza tubadili au hii una enjoy.. ujue ni sex ni communication kama hakuna communication ngumu kutoboa.. goja nilale zangu na haka kabaridi
Itakuwa hakutunz huyo 😂😂😂achana naeSijawahi kabisa 🙄
Hamna nalojua mie.. nahitaji mumama wa kunifundisha mapenzi humu.. usiku nikaanzishe thread love connect 🤣🤣🤣 naweza bahatikaYeah,wewe bado kijana mdogo😜
Nilimwacha kitamboo 😂😂😂😂🤸Itakuwa hakutunz huyo 😂😂😂achana nae
Haijalishi chochote unachosema nimetoka kuwasifia wenzako hapa wanaona aibu Wanasema "Aaaa mbona sipo hivyo" ila wanaona aibu na kupenda wanvyosifiwa hata kama ni uwongo.Binafsi naamini wanawake ni complicated hicho unachokiongea ntaamini kutokana na reaction Kwa vitendo vyako ila Kwa maneno ni uwongo.Huenda kweli ndo nilivyo....utamzuiaje yeye kuona uhalisia?
Yaan kule ni chap Kwa upesiHamna nalojua mie.. nahitaji mumama wa kunifundisha mapenzi humu.. usiku nikaanzishe thread love connect 🤣🤣🤣 naweza bahatika
Tatizo hela, bado sijapata kazi, kula kulala.. sijui kama ntabahatikaYaan kule ni chap Kwa upesi
😂😂AfadhaliNilimwacha kitamboo 😂😂😂😂🤸
(japo sio wote) Nikujuze tu, wanamake hawaridhiki kamwe. Tenda kwa kiasi ukitafuta kumridhisha mwanamke kamwe kamwe mnunulie gari siku ukikosa hela ya mafuta atakuita mwanaume suruali alafu akatokea mwanamme wa kumpa 10,000 ya mafuta atamtukuza kua huyo ndio mwanaume.Mambo manne yanayovutia wanawake Kwa wanaume
1 Uwezo wa kukidhi mahitaji yake: Mwanamke anatamani uchukue usukani wewe mwanaume uwe mpaji wa mahitaji yake.Hii haijalishi anafanya kazi au hafanyi kazi hata kama hatasema au atakataa ila ukweli wanao moyoni.
2 Anapenda kusikilizwa: Wengi wanapenda kusikilizwa matatizo Yao shida zao hata zisipotatuliwa ila kusikilizwa anapoongea ni jambo muhimu.
3 Anapenda kuthaminiwa: Mwanamke anataka ajiskie wa thamani anapokuwa na Mwanaume wake.
4 Kusifiwa maungo yake: Tafiti zaonesha hata mwanamke awe mzuri kiasi gani Bado anakuwa na uoga au wasiwasi kuhusu sehemu baadhi ya mwili wake.Unapomsia maungo yake hasa pale mnapokuwa kwenye SITA Kwa SITA inaleta amani na furaha kwake.
##WEEKEND NDYO INAISHA
mama D , mama mtumishi, hauna neno la kusindikizia hapa? Hata ka kifungu ka kichokozi 🤣🤣🤣
Wanaume kazi tunayo, hivyo viumbe kamwe havitoshekiMambo manne yanayovutia wanawake Kwa wanaume
1 Uwezo wa kukidhi mahitaji yake: Mwanamke anatamani uchukue usukani wewe mwanaume uwe mpaji wa mahitaji yake.Hii haijalishi anafanya kazi au hafanyi kazi hata kama hatasema au atakataa ila ukweli wanao moyoni.
2 Anapenda kusikilizwa: Wengi wanapenda kusikilizwa matatizo Yao shida zao hata zisipotatuliwa ila kusikilizwa anapoongea ni jambo muhimu.
3 Anapenda kuthaminiwa: Mwanamke anataka ajiskie wa thamani anapokuwa na Mwanaume wake.
4 Kusifiwa maungo yake: Tafiti zaonesha hata mwanamke awe mzuri kiasi gani Bado anakuwa na uoga au wasiwasi kuhusu sehemu baadhi ya mwili wake.Unapomsia maungo yake hasa pale mnapokuwa kwenye SITA Kwa SITA inaleta amani na furaha kwake.
##WEEKEND NDYO INAISHA