basi my dear hizo sms zako zilikuwa hazina mikiki mikiki,zile zangu zilikuwa kiboko aise, hakuna cha kujaliwa kuandiaka pale, ndio mana siku nilipowakuta bar nilikuwa nahasira kiasi cha kwamba ningeharibu mazima kabisa.
pole sana rafiki yangu,ndio mana nilienda nikiwa tayari kwa lolote, kama tunashikana na tushikane vizuri na tuachiane alama za ukumbusho,ndio mana nilikuwa tayari kuharibu kabisa ili nisijutie, bar mwenyewe? mpaka sasa nina uwezo wa kukaa bar mwenyewe nikagida nikachapa lapa, si pesa yangu inaniruhusu? sina hofu kabisa,mradi isiwe usiku, siku zile niliagiza balantine kubwa na amarula kadogo, sasa sikuweza kuzimaliza na naona nao wanakaribia kumaliza kula ikabidi nishike chupa zangu mkononi niwafate nazo sasa sijui walivyoniona na chupa mbili walijua ndio nawavurumishia? nimwage pombe mie? pale nilikuwa na tatizo na mhusika wangu, sasa huyo mzinzi mwenzie angenyanyua mdomo tu, aiseee sijui, FP najiamini mbaya kabisa, haswa pale ninapojua naonewa/nanyanyasika napambanaga haswaaa, penzi jipya? hawa wazinzi walikuwa wameshazoeana, mie nimesotea kasheshe kwa miezi 6 which means wao walikuwa wameshazoea kiasi cha kuwa na guts za kukaa mabar mchana kweupe bila hofu yoyote.
pole sana rafiki yangu,
niliposema bar peke yako nilikuwa na maanisha kwenda kuanzisha fujo na si kunywa.
Hii imekuja tu kichwani "out of topic" unakumbuka siku moja tuliongelea sehemu fulani kuanzia kwa kitanda mnajishitukia mpo chini? nikikumbukaga nacheka mno, lol! unanifurahishaga sana Nyamayao
Hee Nyamayao ulimfumania shemeji na bar maid wanabadilishana mawazo? Bora kama hakuagiza Valuer au Giness
my dear, la maana hapo ni kujifunza.....hahah umekumbuka mbali kweli my dear, maisha haya FP tuyaache tu yalivyo, baada ya huo msukosuko ukitukuta mahali utasema ni sie tuliokuwa tumenuniana kwa kila kitu ndani ya nyumba? hahah wacha tu, sema ile kasheshe ilimfundisha kila mmoja wetu mambo fulani fulani, na baada ya kuyaweka sawa sasa hivi tunadunda tu.
ha haaaaaaaaaaaaaa, alikuwa anatafuta mwenye mke mnyonge, lol! vimada wana tabu sanahakuwa bar maid, yule dada nilimsumbua mpaka alikoma mwenyewe, nilihakikisha nimejua anafanyia wapi kazi/anapoishi, mpaka akawa anamlalaikia mzinzi mwenzie kwamba namkosesha raha, hakujua kama ana mke mkorofi hivyo, blah blah kibao, kalikuja kuolewa manza huko.
somo limeeleweka sina haja ya kupata supp kwenye maisha ya sasa na baadae kwa sababu Mtambuzi amenifunda mie.
mweh kuna wanaume wengine hawatishiwi nyau hata kama unajiweza atataka tu awe juu kwa kukufanyia visa na majanga wala hataona tabu kwake.Yeah ukikubali kuwa omba omba ujue ushauza uhuru wako kwa mwanaume..........
Wanawake wote wenye kipato na wanaochakarika, wanaume huwagwaya maana wanajua akimkorofisha atasepa ...............si anajimudu!
mweh kuna wanaume wengine hawatishiwi nyau hata kama unajiweza atataka tu awe juu kwa kukufanyia visa na majanga wala hataona tabu kwake.
Elizabeth Dominic hapo kwenye BOLD naomba ushereheshe kidogo, maana sijakupata sawasawa.......It goes both ways siku hizi, juzi nimecheka kulikuwa na harambee Kanisani wababa wanashindana na wamama atakayekusanya pesa zaidi, sasa mbaba anasimama anawaambia wenzake "Wanaumee!" wanaume wakaitikia kwa hamasa "Eeeh!" akaendelea "Jamani wanaume tukiwezeshwa tunaweza"..........mi hoi, kumbe wanaume nao wataka kuezeshwa?
Lakini back to the topic kwakweli wanawake hatuitaji kuwezeshwa japo tunafungwa na vifungo vingi, lakini mara zote tumeweza kuonyesha ujasiri wetu na ubunifu katika maisha. Tuachane na kasumba ya kuwezeshwa kwa vi Vitz na vi RAV4 eeh? Mi mwenzenu nakomaa tu hadi "najiwezesha" Lakini swali ni sawa Mwanamama anaweza kweli akawa na morali ya kujikomboa/kujiwezesha lakini je kwenye process ya kujiwezesha si kuna possibility ya kuwezeshwa kujiwezesha?
hizo k wanapewa inapobidi na si vinginevyo licha ya hivyo wengine wanabadilika akikuweka ndani ndo unamjua ye ninani binadamu wengine kwa kupretend huwafikii na saikolojia yako ya kawaida labda mwanasaikolojia.Ninavyojua mimi, wanawake wamejaaliwa saikolojia ya hali ya juu kuwatambua wanaume wa maana kwa kuwaangalia machoni, tatizo lenu mnawahisha kuwapa K na ndio sababu mnashindwa kupambanua kipi ni kipi
Tatizo mkishaonjwa mnakuwa kama vle mmepandwa na maruhani...........
hizo k wanapewa inapobidi na si vinginevyo licha ya hivyo wengine wanabadilika akikuweka ndani ndo unamjua ye ninani binadamu wengine kwa kupretend huwafikii na saikolojia yako ya kawaida labda mwanasaikolojia.
Tupo pamoja dada....
Vipi habari ya familia yako, naona kimya hata PM dada.....!LOL