Wanawake wanapenda kutangaza shida | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanawake wanapenda kutangaza shida

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mkwaruzo, Apr 24, 2011.

 1. Mkwaruzo

  Mkwaruzo JF-Expert Member

  #1
  Apr 24, 2011
  Joined: Feb 21, 2011
  Messages: 566
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Ilikuwa ni juzi tu mida ya asubuhi wakati nikiwa niko bize na kazi za hapa na pale huku nikiwa nimefungulia station ya radio ilikuwa inazungumzia mada inayohoji ivi:
  Je ni sawa kwa wanawake kutangaza shida walizonazo kwa wanaume ambao wametokea kuwa nao ndani ya muda mfupi tu.
  Kipindi kilikuwa kinaendeshwa na wanawake, hivyo kwasababu ya kujiridhisha walikubaliana kuwa ni sawa. Hivyo nami nimeonelea bora niilete hapa jamvini ili nasi tuingaliye kwa upande wetu.
   
 2. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #2
  Apr 24, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Shida za aina gani?Wanaeleza kwa madhumuni yapi?Hao wanaume wanakua na mahusiano gani nao??Binafsi labda siwezi kwasababu napenda kufanya mambo yangu mwenyewe ila sioni ubaya wowote kumwambia mtu aliyekua karibu nae (hata kama ni kwa muda mfupi) matatizo aliyo nayo!Kama huyo mwanaume yupo kumsikiliza tatizo liko wapi?Au ndio wanaolalamika?Kama ndio basi wasiwajengee hao wanawake mazingira ya kuwaeleza matatizo yao kama hawapo tayari kuyasikiliza!
   
 3. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #3
  Apr 24, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Na siku hizi wanaume hawapendi majukumu ya kumlea mwanamke ile mbaya, ukianza kuleta vishida vyako utaachwa kwenye mataa. binafsi sioni shida kufanya hivyo ila msichana awe na shida kubwa sio oooh perfume yangu imeisha
   
 4. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #4
  Apr 24, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Inategemea na level na aina ya uhusiano walionao...sipendi kuomba wala ku share shida zangu.....ila pale inaponibidi nitamwambia mtu mwanaume ninayemfahamu muda mrefu na tunayeelewana......sidhani kama wanawake wanapenda kutangaza shida bali kuzungumzia shida zao kwa lengo la kusaidiwa.....
   
 5. itnojec

  itnojec JF-Expert Member

  #5
  Apr 24, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 2,192
  Likes Received: 223
  Trophy Points: 160
  sku hz ukipata mpenz ujue ww ni buzi, anakutumia vizuri kabla ya ww kumtumia ndo mana wanajitetea kwamba hamna shida kutangaza shida..me don like this love thing, wizi mtupu
   
 6. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #6
  Apr 24, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,277
  Likes Received: 1,716
  Trophy Points: 280
  Mada haieleweki. Kutangaza shida au kueleza shida? Kama ni kutangaza shida ina maana kushare na watu wa nje mataizo ulonayo kuhusu partner wako. To me that depends on your personality. Some people feel relieved when they share their sad stories with anybody. For me I rarely share my marital probems with my friends. The only person that I have ever consulted is my young sister and I have three elder sisters whom I can't tell everthing. My young sister is my best friend and she always give me the best advice ever! Yaani hata kama nina hasira anajua jinsi ya kunishauri na baada ya muda na conclude the advice was superb. Otherwise siamini marafiki! Rafiki ukimwambia kitu kinageuka matangazo ya kifo. Anasubili utoe mguu tu atafute wa kumsimulia!
   
 7. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #7
  Apr 24, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Umeeleza vizuri mkuu nafikiri hii ndio yangu ya mwisho kwa leo Goodnight
   
 8. Mkwaruzo

  Mkwaruzo JF-Expert Member

  #8
  Apr 24, 2011
  Joined: Feb 21, 2011
  Messages: 566
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mada iko ivi: Unatokea kumpenda mwanamke, unamuambia, mnakuwa wapenzi, ndani ya muda mfupi tu anaanza kukuelezea shida tofauti tofauti. Hakuna ubaya kusaidiana. Lakini je kuna uhalali wowote kuufanya uhusiano kuwa ndiyo tiketi ya kuelezea shida zako bila ya kujali muda wa uhusiano huo?
  Kwa upande wangu mimi naona uhusiano huu utanipunguzia imani kwa kuhisi kuwa nimekubali mapenzi ili kuwa kama kitega uchumi chake.
   
 9. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #9
  Apr 24, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 253
  Trophy Points: 160
  Na wanaume je???
   
 10. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #10
  Apr 24, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280
  mhhhhhhhhhh kumekucha
   
 11. The dirt paka

  The dirt paka JF-Expert Member

  #11
  Apr 24, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 371
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Hii issue sio siasa za CCM na CDM. Shida ni sehemu ya maisha ya mwanadamu na sio miti. Wanyama nao wana zao wanapokumbana na majangili.
  Haijalishi mwanamke au mwanaume wote hutegemeana na nafasi ya kila mmoja na uzito wa mahusiano yenu. Tatizo huja pale mmoja anapotaka haja zake zitimie kwanguvu na wakati anaotaka yeye bila kujali kuna jambo la kuhitaji muda kutatua matatizo na kunakukwama.
  Hivyo suala la kumueleza mtu shida zako ni lakawaida na husaidia mtu kumuelewa mwenzie na kumuhandle vizuri lakini sio shida za lipshine, perfume, hereni e.t.c. Na kwa mtu anayeelewa maisha, anayejali, na kuamini hatoona kero kutoa msaada japo wakimawazo.
  "KUKIMBIA SIO SULUHISHO LA TATIZO"
   
 12. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #12
  Apr 24, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Na wewe unaguna sana mwisho utapata kansa ya koo! Ila najua wewe unasikiliza sana shida haijalishi kama perfumes au nini
   
 13. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #13
  Apr 24, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280
  mimi kama mwanamke ni mzuri huwa
  naombea awe na shida nitakayoweza kumsaidia...

  halafu na mimi naeleza shida yangu...
  ili tusaidiane lol
   
 14. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #14
  Apr 24, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280
  wanaume shida yetu huwa moja tu lol
   
 15. BlackBerry

  BlackBerry JF-Expert Member

  #15
  Apr 24, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 1,844
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Lol njoo kwangu natafuta wa aina hii nina shida kibao natafuta msaada
   
 16. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #16
  Apr 24, 2011
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  hapo imeeleweka sasa, ile dizaini mama mgonjwa nahitajika cjui shs ngapi za hosp, cjui nn na nn hapo mna wiki mbili tu za mahusiano lakini umesushiwa matatizo debe, inabidi tu mtu ujiulize kama ckutokea ngemweleza nani haya matatizo au angeyatatua vipi?
   
 17. Mkwaruzo

  Mkwaruzo JF-Expert Member

  #17
  Apr 24, 2011
  Joined: Feb 21, 2011
  Messages: 566
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Wanaume wasiyopenda kuelezewa elezewa shida huzikwepa kwa kutanguliza za kwao japo za uongo. Utasikia "gari yangu imeharibika na inahitaji kama laki na ishirini ivi (120,000) ndiyo matengenezo yakamilike" lakini ila sidhani kama yuko mwanaume ambaye mwanzo wa mahusiano anaweza kukueleza shida zake kwa kutaka zitatuliwe na mwenza wake kwa wakati huo labda iwe ni kumtaarifu au kutaka ushauri tu.
   
 18. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #18
  Apr 24, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280
  mbona nimekuja hukusema?
   
 19. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #19
  Apr 24, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Kutangaza shida.!
  Shida zangu bora nife nazo. Lol! Watu wengine kuwaambia shida zako ni kujiabisha.
   
 20. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #20
  Apr 24, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Nitangazie shida zako basi nikutoe
   
Loading...