Wanawake wanapenda kudanganywa!

hu hu hu! Kubali kataa, vimba pasuka, lakini Wanawake wanapenda kudangwanya!
 
Kama mimi mwenyewe naendesha mercedes nikimwambia binti nitamnunulia vits ataona mimi muongo? By the way wanawake ni washamba sio kinondoni pekeyake ila sehemu nyingi duniani kwa sababu kwenu uongo ndio mnaona ukweri na ukweri ndio mnaona uongo
swadakta!
 
Anyway nilisika pahala kuwa ukisema ukweli basi hutapendwa. Wapenzi wengi huishi kwa kudanganyana!
 
mmmh....lakini kuna kaukweli kidogo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…